Search results

  1. M

    Kwa Wanaume Tu

    Inategemea hali ya ukakasi kwa muda huo, Chezea ukakasi weyeee...The higher the ukakasi..option 5. Unatoa ukakasi kwingine huku unaendelea na kubembeleza unapo target..
  2. M

    Kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi huweza kumfanya binti kupoteza fahamu?

    Psychosocial environmental stressors (precipitating factors), hysteria may be one of the outcome
  3. M

    Nahitaji mume mwema jamani

    Mimi hapa!tatizo tutatofautiana kupima oil mapemaaa..uongo? mana ili nihamasike inabidi nionje ndo way forward ifate..........sasa utaanza oooh tusubiri mpaka ndoa...cjui ka kuna jembe linanunua mbuz kwenye gunia.........labda kwenye mapambio inasemekana
  4. M

    Love connect Party

    Sasa kama nimeoa/nimeolewa ila mwenzangu yuko mbali nami upweke umenizidi inakuwaje?ziwezi pata wa kubuz buz....
  5. M

    Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    kamata Redbull na supu ya pweza daily uone kama hajaomba msamaha......unasugua mpaka cheche kudadadeki!
  6. M

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Saka eneo lenye mishe za watu; choma maindi nunua yebo yebo kkoo kuanzia pair 50@ buku we unawabana 2000/= uza matunda mfano matikiti,ndizi,machungwa n.k katika biashara utakayo ipoint uckose pembeni kuwa na meza ya vikaranga, fegi, vipipi pipi, bazoka n.k Nadhani ukiwa siriazi hukosi mwekundu...
  7. M

    Jamani wanaume wachaga ni hatari...!

    Yewomiiiiii! Yesu na Maaaria aisee...yani miaka 4 hajaonja! atakuwa mchaga pori Arawa!
  8. M

    CRDB wameniibia Zaidi ya Tsh 200,000

    Ila kama umejaza complaint form huwa inachukua siku 45. tatizo ni kama kuna jambo la msingi na dharula mfano kununua dawa za mgonjwa aliyezidiwa alafu inatokea mizinguo ya staili hizi inakuwaje? Kampuni husika zinawajibika vp?
  9. M

    Gharama za kuchimba kisima kirefu cha urefu wa metre 200 chini ya ardhi

    Haa haa labda kuna udalali mana bongo hii...
  10. M

    Utaratibu na gharama za kupata hatimiliki ya nyumba/kiwanja

    Wadau naomba mnielimishe utaratibu na gharama za kupata title ya kiwanja kwa maeneo ya Mbezi-Msakuzi(Mpigi Magoye road) na Kitunda kivule...Nasikia ni shughuli pevu lakini kuna haja ya ku accomplish hili, tafadhali nahitaji idea how to start the process and how much should I have in hand for the...
  11. M

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Hii itakuwa ni opinion zake, hamna fact hapa..
  12. M

    Mkopo.

    Sure Bobby umeuliza swali la msingi sana mana kama wanazuia mkoko ni balaa lingine tena...unless haina jinsi mana mzee mzima kama maji yamevuka shingo yako kidevuni..haina jinsi ni kupiga TZ 11..... Ndessa inabidi adadavue zaidi au atusaidie contact if possible
  13. M

    Mkopo.

    Sure Bobby umeuliza swali la msingi sana mana kama wanazuia mkoko ni balaa lingine tena...unless haina jinsi mana mzee mzima kama maji yamevuka shingo yako kidevuni..haina jinsi ni kupiga TZ 11.....
  14. M

    Je mapenzi yanaweza kusurvive bila kuduu (Sex).

    Haa haa inategemea namna gani mtu ana tune his/her mind. Inawezekana lakini kiuhalisia zama hizi za utandawazi hakuna kitu kama hicho, mpenzi anaweza kuamua kukuridhisha kuwa msubiri huku anaendelea na magoma mengine. Hii kitu hii achana nayo..
  15. M

    Muda gani muafaka mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa?

    Mkuu haina kipingamizi limitation ni positions tu! Hata hivyo zipo sababu za kitabibu zinazoweza kupelekea mama kupewa complete bed rest mfano cervical incompetence(kulegea kwa shingo ya kizazi), hapo mzaz ukila vitu unaweza temesha mzigo...
  16. M

    *Anataka mambo ya pwani*

    Duh!kama vp jisalimishe mkuu..au ushanunua KY jelly..Haa haaaa
  17. M

    Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    bora vipo rtable kupunguza ligi, mana mipododo pasua kichwa sio siri...
  18. M

    Hizi Ndio Faida 16 za Kufanya Mpenzi Kila Siku

    Duh sasa wale ambao wenzi wao wako mbali inakuwaje?mana wengine wanaonana once per month/week...
  19. M

    bikra ya barmaid

    Yani zama hizi za digitali bado mtu ana ufahamu kwamba unaweza pata HIV kwa sexual intercourse tu! kama amepata maambukizi kwa njia nyinginezo je? let us be aware bana....Ndo yale unasikia mtu anajisifu eti "mi noma,demu nimemega na condom 2, hapo ngoma labda iwe mkono wa mtu" kumbe ndo...
  20. M

    Akawaambia, “Nawaachia mumshughulikie…..!”

    Kuvurugwa vurugwa sio swala la mzaha jamani.....ohooo...
Back
Top Bottom