Search results

  1. mama lubango

    Kwa wale ambao hawajaoa wala kuolewa

    Physical appearance: Mrefu mweusi au brown asiwe too thin. Anizidi umri not less than 4 years. Others: Anipende kweli awe ameokoka awe na elimu kuaanzia shahada na awe na pesa za kutosha. Ila cha muhimu he should know how to handle his family
  2. mama lubango

    Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    Na mimi ndo nafika ngoja sie tule chakula cha uzima
  3. mama lubango

    Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    mara 100 ukasikilize neno la uzima kuliko kwenda kwa diamond. wewe toa sadaka yako kwa Mungu kama yeye ni tapeli hukumu i juu yake ila wewe utakuwa umetenda wajibu wako
  4. mama lubango

    Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    Tena ishindwe kwa damu ya Yesu!
  5. mama lubango

    Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    Wewe una uhakika gani? basi na wewe utakuwa ni mshirika wa hizo nguvu kutoka nigeria. Acheni kuropokwa ovyo bwana hata sio sifa ni ujinga
  6. mama lubango

    Jinsi ya kuandika jina la mtu fb

    Eti jaman kule fb nawezaje kuweka link ya jina la mtu kwa mfano huku naweza kuweka mama lubango je kule inawezekana kama natumia simu?
  7. mama lubango

    Given A Second Chance,Would You Still Marry Your Spouse???

    ohh Lord give me a perfect husband so one day I will be proud of him like how queeny seems to be. Amen
  8. mama lubango

    Abiria wa ajali ya basi la NAJMUNISA watelekezwa mbande-kongwa

    Nina tiketi ya basi hili kutoka mwanza hadi dar kumbe limepata ajali hivi majuzi!!
  9. mama lubango

    Natafuta kazi za ndani

    Nipo dar lakini pia mwanza naweza kufanya kazi. Nipo tayari kulala au la. nina miaka 24 sina anaenitegemea sijaolewa wala sina mtoto. Naweza kufanya kazi zote za ndani pia ni mtalaam wa mapishi. Mshara maelewano
  10. mama lubango

    msaada wa haraka hapa

    hili neno lina maana gani? ''proceed ex-parte''
  11. mama lubango

    Natafuta kazi za ndani

    Kutokana hali ngumu ya maisha inayotaka kunikabili nimeamua kuwa house girl ili nipate mahitaji yangu ya kila siku. Naweza kufanya popote hata kwa wazungu coz I can speak english fluently. Please mwenye shida na house girl anipm na hatajutia uamuzi wake
  12. mama lubango

    Nahisi nitafukuzwa chuo jaman

    Leo nimeitwa na DVCAA nikapewa barua kuwa jumanne niende kwenye kikao cha Examination Comittee. Semister ya pili sikufanya mitihan kwan chuo chetu hakiruhusu mtu kufanya mitihani unless hadaiwi. Sasa mimi nilikuwa nadaiwa hivyo sikufanya mitihani Nahisi watanifukuza chuo kwa sababu hiyo ohh...
  13. mama lubango

    Natafuta girlfriend aishiye DSM

    Hii ni fallacy of generalization mbona humu wapo wadada kibao wanaojitambua na wenye true love!
  14. mama lubango

    Unahitaji mke mwema? huyu hapa

    Kila mtu ana interests zake jaman
  15. mama lubango

    Unahitaji mke mwema? huyu hapa

    Nina miaka 24 natafuta mwanaume mwema wa kunioa in the next one or two years. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa tz mwaka wa pili nasomea degree ya ualimu. Ni dada mtulivu nisie na makuu mrefu kidogo mnene kwa mbali. Natafuta mwanaume mkristo asiwe msabato au roman. Then asiwe mwenyeji...
  16. mama lubango

    Joto hasira wa jay dee

    si useme maudhui yake kama umeyaelewa polojo za nn?
  17. mama lubango

    Juice ya ajabu: Ni dawa, kinga na virutubisha vya kuongeza nguvu za kiume na kike

    Mi nahisi kwa parachichi moja atleast 2-3 passions
  18. mama lubango

    Urembo: kwa wadada wenyeji wa mwanza

    Kuna anaefaham sehemu yoyote ambayo naweza kuwapata wale wamasai wanaosokota nywele kwa rasta?
  19. mama lubango

    retired sister nipo hapa

    Defense mechanism!
Back
Top Bottom