Search results

  1. OMGHAKA

    Kikwete aipasua zaidi CCM kwa upendeleo wa tuzo

    Sasa mtoa mada ungepewa nafasi ya kutoa tuzo bado ungewapa hao unaowaona wanastahili na JK angekulaumu kuwa umewaacha wale aliowaona yeye wanastahili... tatizo litabaki palepale vinginenyo ni kujirekebisha mitazamo ya nafsi zetu, tusiwe wa kulaumu saana... kila kitu tunalaumu!!!!!!!!
  2. OMGHAKA

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Great thinking!!!!!!!
  3. OMGHAKA

    Mabom! Mabom! Mabom!

    Kuna haja ya kuwa serious kidogo na kuacha kupost upuuzi upuuzi kama huu. ni upuuzi mrindimo wa fataki kuita bomu. kama ulikuwa na lengo la jokes ungepost kwenye jukwaa lake
  4. OMGHAKA

    Baadhi ya maneno ya Lowassa wakati anajiuzulu!

    Kama una clip ya ripoti ya Mwakyembe tuwekee pia mzee ni nzuri kukumbuka hizi
  5. OMGHAKA

    Wakuu hii ndio yenyewe kabisaaaaaa

    Na yakome kujianika hadharani, yawekwe mtandaoni yaje yaonwe mpaka na watoto wao!
  6. OMGHAKA

    Wanachama chadema

    Mod ipelekeni hii jukwaa la politiki
  7. OMGHAKA

    Kwa wajasiliamali, wafanyabiashara na wanaoelewa....

    Kwanza wazo linaanza, ukiwa na wazo la biashara ni muhimu kabla ya kuandika BP fanya ka-utafiti kidogo ili kukazia wazo lako ama kidhungu wanasema 'feasibility analysis'. takwimu utazopata kutokana na ka-utafiti ndio utatumia kuandaa BP ambayo nato utaitumia kama road map katika kuanzisha...
  8. OMGHAKA

    Huku ndio Kwetu!!

    Hata kinamama kwenye vikao wanakuwa kama hivi...
  9. OMGHAKA

    NAWA MIKONO PINDI UTOKAPO MAENEO..Otherwise!

    Ujumbe mzuri, nimependa jinsi ulivyofikisha message!
  10. OMGHAKA

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Mugabe hana umuhimu wowote kwa NATO hivyo hili wala halitamkuta!
  11. OMGHAKA

    Angalia hii picha halafu tupe mgawanyo wako wa mawazo

    Unajua hili tatizo la kujiajiri lilianzia pale Azimio la arusha lilipoanza. iliaminika kuanzisha private entreprise ni ubepari. sasa pamoja na kwamba sera zimebadilika lakini mind set zetu bado hazijabadirika, si za waanzishaji tu bali hata za wale wanaotakiwa kuratibu (Serikali). utashangaa...
  12. OMGHAKA

    Angalia hii picha halafu tupe mgawanyo wako wa mawazo

    Nawaza Tanzania ijayo na hatma ya watoto wetu... Kama nimefanya kazi zaidi ya miaka 20 sasa bado sijaweza kuanzisha chochote cha kutoa ajira kwa hata watanzania 2 itakuwaje kwa yule anamaliza shule/chuo sasa? Hivi, si kila mmoja wetu ana wajibu wa kuchangia kupunguza tatizo la ajira? mimi...
  13. OMGHAKA

    Nashukuru kuwa hai

    Du! Pole sana.
  14. OMGHAKA

    never trust a woman

    Kwani yeye si mwanamke?
  15. OMGHAKA

    Road distances

    Ukifika Tarime tuwasiliane tusalimiane!
  16. OMGHAKA

    Kama haya yanampata Waziri wa nchi, je mwananchi wa kawaida itakuaje?

    Umeona eeh! Hapa kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia.
  17. OMGHAKA

    Anyone who is serious pls?

    Biashara ambayo haipo east africa? na utandawazi wote huu? sijui!! labda!!! lakini mara nyingi adhaniaye anajua kumbe ndiye hajui na baya zaidi huwa hajui kuwa hajui...
  18. OMGHAKA

    Natafuta trekta

    Du! kweli umeamua, ungekuwa karibu nami tungeshare bwana maana mimi sina uwezo wa kulinunua na nimewafuatilia wa kilimo kwanza wanikopeshe wamenitia kichefuchefu!
  19. OMGHAKA

    Leo ni siku ya kuosha mikono Dar es salaam

    Mkuu naomba ABC za hii program nami nijielimishe... pia kama unafaham chochote kuhusu program ya 'ulevi noma' na nyingine yoyote ya "kwa hisani ya watu wa Marekani"
  20. OMGHAKA

    Vodacom acheni Upumbavu!

    Hakuna fedha ya bure jamani... ili ule lazima uliwe... sasa hapo unaliwa kwanza, vumilia utakuja kula baadae.
Back
Top Bottom