Search results

  1. P

    Wasifu wa Ally Salum Hapi

    Ally Salum Hapi ni kijana mzaliwa wa Nzega mkoani Tabora. Kijana huyu anayetoka katika familia ya kawaida kabisa (si ya kitajiri au uwezo wa kifedha) alipata elimu yake ya shule ya Msingi humo humo Mkoani Tabora. Baadae alichaguliwa Kujiunga na kidato cha kwanza katika shule ya Ufundi ya...
  2. P

    Dk Kitila Mkumbo: Vijana wa BAVICHA wanahitaji kufundwa!

    Naungana kabisa na Dr. Kitila! Hawa vijana wanahitaji kulelewa na kufundwa kisiasa juu ya nini cha kusema, wapi na wakati gani.
  3. P

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Nimeona kwa Magambazi na imekuwa delivered na kisha kulinganisha namba ya simu na niliyonayo ya Mh. Mbunge!
  4. P

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Nape amemwandikia message Mbunge wa Ubungo kwa kumpongeza ushindi wake na kusema hakika walistahili ushindi na kuwa angeumia sana kama kijana huyo mashuhuri na mjenzi wa hoja angevuliwa Ubunge. Na mwisho akasema: Peopleeeeeeeees! Pamoja!
  5. P

    Taarifa ya diwani wa Igoma dhidi ya sakata la umeya jijini Mwanza na mbunge Wenje

    Taarifa kwa umma wa Tanzania na vyombo vya usimamizi wa sheria za nchi. Naomba nitumie fursa hii kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizojiri kwenye kikao cha baraza la madiwani tarehe 15/05/2012 la halmashauri ya jiji la mwanza na hujuma na uonevu ninazofanyiwa mimi chagulani adams iblahim...
Back
Top Bottom