Search results

  1. ipogolo

    Ina maana marehemu Mh. Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

    Jimbo la Morogoro miaka hiyooo. Soma history ya Uhuru wa Tanganyika.
  2. ipogolo

    Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

    Registration yake ni S na sio P( Private)
  3. ipogolo

    Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi

    Wawazuie pia kutembea bila kuvaa nguo za ndani
  4. ipogolo

    Rais anatembea na kiti chake kokote anakoenda?

    Umeangalia rangi nyekundu.
  5. ipogolo

    Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

    Hiyo nguo kanunuliwa na kupewa avae
  6. ipogolo

    Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

    Mwenyezi Mungu pekee ndiye mlinzi. Kwani Nyerere alikumbatiwa na nani? Mkapa je? Magufuli? Mtumainie Mungu. Yule ni Malaika tu
  7. ipogolo

    Katika Ukristo, kitendo cha msamaha ni cha lazima, si hiari!

    Yametokea. Kakuita ukapate adhabu ya dunia
  8. ipogolo

    Mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji

    One Two. Microphone Test. Alisema yametokea.
  9. ipogolo

    Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

    Viongozi wa dini wanakuomba umsamehe "mkosaji" unawakatalia? Haya sasa, mdai wako umemuacha duniani.
  10. ipogolo

    Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

    Angekuwa mwema asingekata vichwa vya binadamu wenziwe na kuvitia katika jokofu. Yule mama wa kiizrael( 90 minutes at Entebe Mary, Kichwa cha rpc wa west lake region " kagera Afande Pope 1971) Unakumbuka aliwafurusha Waasia? Nimekukumbusha kwa uchache sana.
  11. ipogolo

    Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

    One two = tarehe 12 Microfone check = kipaza atakachotumia kitawekwa mambo. Hayo mambo yatasukuma hadu tarehe 12 Leo.
  12. ipogolo

    Dodoma: Waziri Mkuu aagiza Mwanajeshi, maarufu kama HK akamatwe kwa udhalilishaji

    Ok rpc kaona mjeda hana kosa, mkosaji ni huyu dogo. Sura mtaziweka wapi?
  13. ipogolo

    Dodoma: Waziri Mkuu aagiza Mwanajeshi, maarufu kama HK akamatwe kwa udhalilishaji

    Mheshimiwa, Je HK kakutwa na hilo kosa? Aibu tutaweka wapi na matamko?
  14. ipogolo

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Weee. Kujua post code ya eneo husika: *152*00# call mtandao wowote bure. Utachagua no 3. Chagua tena no 3( post kodi za kata) Chagua tarakimu yenye herufi ya mkoa wako. Chagua Mkoa Utaulizwa Wilaya. Chagua tarakimu yenye herufi ya Wilaya. Chagua Kata ( Ward) Tafadhali fahamu Kata yako.
  15. ipogolo

    Rage: Fei Toto akienda CAS ni kupoteza muda wake tu

    1: Million 112 amezipata wapi? Nani kampa? Alipewa taslimu au kupitia akaunti? Kama taslimu ni kosa lingine la kukwepa ulipaji kodi. Kodi ya miamala. 2: Nani yupo nyuma yake ( 3rd party). Mawasiliano ya simu. Au imekuwa faragha? Hapo kesi ya jinai itaanzia hapo.
  16. ipogolo

    Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

    Dawa ya deni kulipa Usiku wa deni.......
Back
Top Bottom