Search results

  1. K

    Bunge laazimia kutofanya kazi na CAG kufuatia kauli yake juu ya 'udhaifu wa Bunge'

    Watu wanaongea sana lakini wanasahu kitu kimoja "Maji" Maji ndiyo tatizo! CAG alipokwenda Marekani akanywa maji ya kule ramani ya Tanzania ikapotea kwenye ufahamu wake akawa anaiona ramani ya Marekani pekee.Sasa inafaa apelekwe na wazee katikati ya bahari Zanzibar to Dar es salaam,wakamnyweshe...
  2. K

    Chama cha Walimu Tanzania kuipeleka serikali mahakamani

    Jenga ukuta nyumbani kwako,
  3. K

    Rais akikosolewa ndani ya chama "anawapoteza",nje ya chama "anawashughulikia"bila huruma,serikalini

    Hili jamaa ni lichochezi balaa hata anadhani kila mtu anawaza upuuzi kama wake, pole sana utaishia kubweka tuu hautamng'ata hata kidogo na miaka ten ataimaliza maana Mungu ndiye kamuweka si wewe uliyejaa chuki na kutopenda haki.
  4. K

    PLAN A: Kuelekea Sept 1, Operesheni UKUTA vikosi vimepangwa hivi

    Hv hawawezi kuzuia dictatorship mpaka wananchi? wanajificha kwa mgogo wa wananchi, hawana jipya!!!
  5. K

    Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Nabii Isaya aliabdika na waenende kwa sheria na ushuhuda tofauti na hapo fahamuni hao ni watunishi wa baba wa uongo kwa vazi la dini,sheria ni Amri kumi ambazo ndizo tabia na muhuri wa Mungu.
  6. K

    Kujiuzulu kwa Ngeleja ndio suluhu ya mgao wa umeme?

    Acha kutoa majibu mepesi kiasi hicho,aliyekwambia kuwa tatizo ni vyanzo vya ENERGY kakudanganya na ww umeamini,hebu kuza ufahamu wako ili usilubunike kiwepesi na mabingwa wa udanganyifu kwa sababu ya uvivu wa kulitumikia Taifa kwa maendeleo ya Taifa na kutumika kwa ajili ya matumbo yao na tamaa zao.
  7. K

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Makubwa haya,kumbe ile skendo ya richmond kuna ukweli ulifichwa kumuangusha mmasai?hebu mwenye tetesi atudosolee kidogo jamani tupate kujua.
  8. K

    CCM, CUF waungana kusherehekea ushindi Dodoma

    Hivi kweli wewe hujui ama hutambui hiyo ndoa ama unatoa maneno tu,uliza basi kwanza ueleweswe usibishe ovyo uliza wana Jf watakupa dada wamo wanafahamu vizuri tu.
  9. K

    Luhanjo: Marufuku viongozi wa upinzani kualikwa kwenye mahafali sekondari

    hujui kwamba huyo ndo mwenye maamuzi,hata mgawo wa umeme pia mh kazi tunayo kiongozi ndiye adui wa kwanza kwa TAifa.
  10. K

    Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

    Tabia waliyo nayo wana familia kwa kiasi kikubwa huathiliwa na baba wa familia,baba akiwa mwizi na watoto wataiba tu ndivyo ilivyo kwa chama cha magamba,bila ya chama cha magamba kuondoka madarakani Rushwa haiwezi kupungua kwani ndiyo siraha kubwa ya chama cha magamba kwenye chaguzi zote.
  11. K

    Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

    Hata mi pia nashauli uwepo umakini mkubwa hao magamba wanambinu nyingi za kuiba kura hasa hiyo ya kubadilisha masanduku ya kura,hivyo mawakala wawe chonjo mtu asiende hata kukojoa akawaacha magamba na washirika wake make chama cha upinzani ni kimoja tu hapa Tanzania,piganieni haki msiogope...
  12. K

    TBC1 Inaipendelea CHADEMA na Kuihujumu CCM?

    Wewe hujajua kuwa taarifa ya habari zikiwemo habari za Magamba ni kichefuchefu kwa walio na akili timamu na si kwako wewe huna tofauti na mwehu asiyejua nini anafanya,pole sana.
  13. K

    Igunga

    IGUNGA,kula pilau la magamba utashiba masaa mawili kisha njaa miaka kumi,KILIMUKAGI BHAJAMENI WAMETUFANYA MASKINI ALAFU WANATUPA PILAU KTK UCHAGUZI;wametufanya wajinga kama wao kwa tamaa zao;walizuia vyombo vya habari ili tusijue dunia inavyokwenda pia elimu ya uraia na haki ya mwananchi ili...
  14. K

    MwanaHalisi, Tz.Daima, Dira,Raia Mwema, Mwananchi yafungwa mdomo kuhusu Manji

    kiburi hicho kina mwisho tena si mbali tutakapotaifisha vijimali alivyotuibia na hao WATAALUMA wanaotumia taaluma yao kwa MATUMBO MBELE siku zao zimo mikononi mwa Mungu.
  15. K

    MwanaHalisi, Tz.Daima, Dira,Raia Mwema, Mwananchi yafungwa mdomo kuhusu Manji

    Huyo jamaa aombe tu na kutambika kwa bibi zake Zimwi la Magamba liendelee kutushikilia Watanzania make tukifunguka yumo katika orodha ya manyonyaji tutakayoyashugulikia halaka iwezeklanavyo.
  16. K

    Vyama vya kidikteta mwisho wao umefika

    Ndugu yangu we acha tu!,eti chama cha magamba wanaweka viongozi vijana ambao ni wafu pamoja na wazee wao ili kuendeleza giza lao;maskini vijana hao mawazo yao kama wafu waliochukuliwa misukule alafu wakaachiwa kutoka huko misukuleni.Giza linatoweka na nuru inatawala,Salam zangu kwa...
  17. K

    CCM bado ina muda mrefu sana wa kuongoza, ni zaidi ya 2020

    MBONA HUJATUELEZEA MBINU MNAZOTUMIA ILI KUSHINDA KATIKA UCHAGUZI ZA KUCHIMBA MASHIMO KATIKA VYUMBA VYA UCHAGUZI NA KUBADIRI MASANDUKU YA KURA NA KUWEKA VITUO BANDIA NA NYINGINE CHAFU HATA KUZIWEKA HADHALANI NI AIBU,we Bata nini?kamuulize mwenyekiti wa chama chako kuhusu Chadema atakwambia na...
  18. K

    Nape: Tutaanza kuwatumia vijana wetu kulinda viongozi

    Chadema hawafanyi siasa za kuchanganyikiwa na siasa za matumbo mbele.Nape mtazamo wake ni kama wa mbwa jike aliyekosa dume mtaani kwao ama kikojozi aliyekosa tiba.
  19. K

    CHADEMA kuangukia pua Igunga.....!

    Wewe una pepo la jalalani na mzuka wa bendela ya kijani na ubongo wako una kifafa kama cha Napzo.
Back
Top Bottom