Search results

1. K

Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

Magari hayo walipewa kwa ajili ya siasa na anacho kifanya mbowe ni uenezaji wa siasa. Gari hilo si la bungeni.
2. K

Sensa na vitambulisho vya urai

Mimi kama mimi siono sababu ya kutumia pesa nyingi kwenye sensa, wakati kwa kupitia vitambulisho vya urai,serikali inaweza kujua idadi ya watanzania kwa ujumla. Wakati hiyo pesa ingewezakutumika kwenye idara nyingine kwa maendeleo ya taifa.
3. K

Maumbile na tabia ya mtu

Nikweli kabisa huwa niwabishi.
4. K

Elections 2010 Star tv live.;updates za matokeo Igunga

Naomba mni update matokeo ya igunga wadau.
5. K

Who is behind the fall of IPP media?

Tatizo kila kitu ni siasa hakuna utendaji kabasa.Sio kwenye company wala serikali.
6. K

Bungeni: Shibuda aongelea hatma yake ndani ya CHADEMA!

Kwa kweli mimi huyu jamaa yuko kama mrema ni mamluki huyu ametumwa na ccm,maana aliwai kuchukua form ya upresident kwa tiketi ccm alafu akakimbia bila kurudisha card ya uanachama.
7. K

Procedures za kushitaki/kufungua kesi

Safi sana mkuu kwa kuelezea vizuri upande makosa ya jinai vipi upande wa madai usisaha na limitation of time,
8. K

Nyumba ya Mbunge Kapteni John Komba yaungua moto

Siko mbali sana na mawazo ya mtanzania mwenzangu.
9. K

Nyumba ya Mbunge Kapteni John Komba yaungua moto

Siko mbali sana na mawazo ya mtanzania mwenzangu.
Back
Top Bottom