Search results

  1. M

    Natafuta mume anayeishi na virusi vya UKIMWI

    Hongera kwa kuwa muwazi, Mungu atakupatia hitaji la moyo wako. Baadhi ya sifa ninazo ila hiyo ya urefu imekuwa kikwazo kwangu.
  2. M

    Natafuta mume (H I V + )

    Msamehe bure dada yangu, watu kama hao ndo wenye kufanya dunia kuwa mahali pazuri pa kuishi, maisha yangebore sana endapo wote tungekuwa na mawazo yenye kufanana.
  3. M

    Natafuta mume (H I V + )

    KARIBU!
  4. M

    Natafuta mume (H I V + )

    Hongera kwa kujitambua na kukubali hali uliyonayo. Sifa zote ninazo NITAFUTE PM
  5. M

    Nahitaji mume 33-40 age

    Pole kwa upweke mushijack, nami nina tatizo la upweke kama wewe na niko tayari kuwa nawe. Kuhusu kupima VVU mimi najijua status yangu NIKO POSTIVE! je tunaweza anzisha mawasiliano? Niko serious!
  6. M

    naitaji mume wa kuoa ASP

    Duuh! Hapo kwenye HIV ndo pagumu kwangu, mi niko POSTIVE. vigezo vingine vyote niko pouwa.
  7. M

    Polisi, wananchi wajeruhiwa kwenye mgogoro wa ardhi Dodoma

    Wewe umeangalia taarifa ya habari, wanaokupa habari wamefika eneo la tukio, nami nimefika pia, nimeonyeshwa sehemu yalipotokea mauaji hayo na tukio linalozungumzwa zaidi ni la mtoto wa miaka 15 aliyekufa kwa kupigwa risasi baada ya kumchoma kisu polis aliyekuwa anampiga mama yake kwa kiwiko cha...
  8. M

    Mwinyi: Viongozi wa dini mnanuka!

    Hii ni dharau kubwa sana dhidi ya uafrika, huu ni ubaguzi wa rangi, mzee wetu amedharirishwa kupita kiasi, mzee Mwinyi ni rais mstaafu wa tanzania na dunia nzima inajua.Anapodharirishwa kiongozi wetu nasi kama watanzania tumedharirishwa pia, badala ya kuijadili kwa kina tunaishia kujificha...
  9. M

    Documentary ya umasikini mkoani Dodoma

    Uko sahihi kwa kiasi kikubwa ktk mchango wako, lkn natofautiana na wewe kwenye uvivu ambalo wengi wasiofahamu mazingira ya dodoma wamekuwa wakiamini hivyo, wakazi wa Dodoma kama ilivyo sehemu nyingi za Tz na afrika kwa ujumla wanategemea kilimo cha jembe la mkono kilimo ambacho hakina uhakika wa...
  10. M

    Naomba msaada wa kuinstall modem ya zain kwenye computer yangu,ninatumia OS fedora15

    Mwenye kufahamu namna ya kuinstall modem ya zain kwenye computer inayo run fedora 15 OS anisaidie tafadhari,nimekwama! Ninatumia os mbili win7 na fedora15.wins hakuna shida ila huko kwenye linux ndio ishu.
  11. M

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    TBC TAIFA, Nape akanusha matokeo yaliyoletwa jf. Tusubiri tume.
  12. M

    Matokeo ya udiwani kata 23 (Oktoba 2, 2011)

    Dodoma kata ya kikuyu kusini ccm imeshinda kwa tofauti ndogo ya kura.
  13. M

    Elections 2010 Updates Kutoka Jikoni Igunga, saa 5 Usiku

    Hakika, utakuwa mfano mchungu kwao, hawatopenda yawakute tena.
  14. M

    Elections 2010 Updates Kutoka Jikoni Igunga, saa 5 Usiku

    Hofu yangu ni kwamba matokeo ya igunga yatasababisha wasijivue magamba mengine.
  15. M

    CHADEMA kupoteza kura za akina mama, waislamu na vijana Igunga

    Umesahau fumanizi la kiongozi wa kampeni wa chama chetu huko Igunga?
  16. M

    CHADEMA kupoteza kura za akina mama, waislamu na vijana Igunga

    Umesahau la mwanamke wa kiislam ambaye pia ni mke wa muislam kuvuliwa nguo zote na kufanyiwa zinaa na wenyenazo kwasababu ya ugumu wa maisha, au hilo la zinaa si udhalilishaji? tujitahidi kuwa wakweli.
  17. M

    CHADEMA kupoteza kura za akina mama, waislamu na vijana Igunga

    Ndugu zangu wanaCCM, mmefanya utafiti na kujiridhisha kwamba mkitugawa kwa imani zetu za kidini mtashinda kweli? na gharama za kutugawa huko mmezizingatia? chaguzi zilizopita tuliambiwa cuf ni chama cha waislam na sasa chadema ni chama cha wakristo, je wananchi wakiamini mgawanyo huo na kupiga...
  18. M

    Nimechoshwa na maisha ya upweke

    Najisikia faraja kubwa kwa maoni yenu,akhasanteni sana!
  19. M

    Nimechoshwa na maisha ya upweke

    Waungwana naomba msaada wenu, naishi na virusi vya ukimwi yapata miaka 7 sasa,mwenzi wangu ametangulia mbele za haki miaka 4 iliyopita. Nahitaji kuowa tena, nitampataje atakaye nikubali na hali yangu?
Back
Top Bottom