Search results

  1. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Wadau naomba kujua ni wapi naweza kujifunza ufugaji wa kuku, na samaki hapa Dar
  2. K

    Mahakama ya kodi ilisema ACACIA imesajiliwa BRELA

    Wadau jadilini kwa hoja kwa hoja bila jazba wala matusi...ukweli utajulikana tu siku moja
  3. K

    Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

    Waziri Kairuki ameonyesha udhaifu mkubwa sana, maelezo yake ni kichekesho na yanaonyesha jinsi serikali ilivyojaa usanii na double standard. Kwa lugha nyepesi anamaanisha ni halali kwa kiongozi wa juu wa serikali kufanya udanganyifu wa vyeti lakini ni kosa la jinai kwa mwananchi wa kawaida...
  4. K

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Mwananyamala Mtaa wa Bwawani: CUF 500; CCM 200
  5. K

    Matokeo Mwananyamala Mtaa was Bwawani:

    Mwananyamala Mtaa was Bwawani: CUF 500; CCM 200
  6. K

    TFDA wanajua hatari inayotukabili wanaume wa leo?

    Kuna wimbi la kuongezeka kwa waganga wa dawa za miti shamba wanaodai wanatibu nguvu za kiume, ikiwa ni pamoja na kuongeza urefu na unene wa maumbile ya kiume hadi kufikia inchi "6.5 kwa urefu na "3 unene. Wanasambaza vikaratasi vya matangazo ya dawa hizo kwa wingi na watu wanaitikia wito kwa...
  7. K

    Cha mtu kina utamu wake

    Katika haramu mbaya hata usiwaze kuzifanya ni kutembea na mke au mume wa mtu akikupata ana ruhusa ya kukufanya chochote atakacho.. Wewe inaonekana hujaoa au kuolewa umezoea kuiba wake/waume za watu...acha kabisaaaa.
Back
Top Bottom