Search results

  1. Billie

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Wanawake wa kizanzibar wanashinda ndani kumsubiri mwanaume mmoja wa kizenji Polygamist alete chakula na mahitaji. Mademu wa kutoka Tanzania Main Land wapo wanauza bar na reception fursa wanatamaa nazo mpaka wanaolewa na wazungu na kusepa ulaya.Mabaunsa na wafuga rasta wamesepa zenji kukaba fursa
  2. Billie

    Utafiti kwa kusoma Hukumu za Divorce Tanzania Ndoa nyingi zina migogoro sababu ya Dharau, Financial reasons ( Pesa) Na extended Family hasa mama wakwe

    Maisha yamekuwa magumu wanawake wamekuwa jeuri na wana mikelele hivi vitu vinachangia kuvunja ndoa sana
  3. Billie

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Ni kheri kuachana kuliko kuishi kwenye mahusiano mfu. Okoa amani yako ya moyo maisha hayajirudii hapa duniani. Kukomaa kwenye ndoa mfu ni kujikosea heshima moyo na mtima wako mwenye coz unaweza ukaishi bila furaha hapa duniani na ukifa ukaishia kuchomwa huko Jehanamu au moto wa milele.
  4. Billie

    Mbunge Mohamed Issa: Ajira za Wazanzibar zimechukuliwa na Wageni

    Sio kama hatutaki kuwapa UHURU sema tunaogopa waataanza vurumai wakidai walinyonywa na mbaya zaidi kuna enter marriage kubwa mno
  5. Billie

    RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa

    Makonda ni jini lililokata kamba waache wafarakane CCM
  6. Billie

    Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    UISLAM NJAA NA UJINGA
  7. Billie

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Heshima iliishia mlangoni baada ya kuingia kwenye ndoa
  8. Billie

    Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

    Blame your shetwan Hamas
  9. Billie

    Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

    Sasa hao waarabu ndo wamepewa Bandari yetu na ndugu zetu wameamua kuchagua wafanye na nani kati ya serikali au mwarabu. Dini ni usen... sana umeficha watu wenye roho mbaya ndiyo maana Mungu anajidhihirisha kwa wazungu kila kitu kinatoka kwao
  10. Billie

    Nipe ratiba ya mstaafu aliyekaribu nawe

    Fuga mifugo soma vitabu vya hiyo mifugo then ratiba utaipa humo humo ukiwa una hangaika nayo
  11. Billie

    Kumbe ukinywa energy drinks huwezi sikia njaa

    Energy drink ni kinywaji tishio kwa binadamu
  12. Billie

    Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi

    Hii nchi nikipata nafasi na mimi NABWENGA uzalendo umekuwa kama utahira na umasikini kwenye hii nchi
  13. Billie

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Njoo unikodi mimi na bunduki yangu tukamteke huyo kijana na wife nae tumzoe then twende nao porini tuchimbe na kaburi kabisa alafu tuwafanyie interrogation majibu utayajua vizuri
  14. Billie

    Kataa ndoa ni hazina ya kesho

    Nimeoa ila nimeanza kutamani chama chenu naomba mnishauri
  15. Billie

    Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Ukiona mke wako ana mtindo wa kupost vi video clips anabinua binua vimidomo na kitako ujue umeoa danga bado linatafuta mabwana. Na ukiona mkeo huwa ana ombaomba na kutolea macho hela ndogo ndogo na akisikia hela kubwa anapagawa ujue huyo kuwa mwaminifu labda akiwa mochwari
  16. Billie

    Msaada napatwa na vichomi kwenye moyo nini tatizo?

    Wahi hospital ndugu yaani injini inatoa mlio sio na check engine imewaka bado unataka kukomaa na kuendesha gari
  17. Billie

    Nimeanza mazoezi kutembea KM 15 nachunika mapaja

    Tuma picha kwanza ya hayo mapaja
Back
Top Bottom