Search results

  1. C

    Habari kwa kina star tv- 18/08/2011

    kwa wale walioangalia habari kwa kina ya star tv wameona jinsi walivyoipa coverage kubwa habari inayoonesha adha kubwa ya umeme na maji wanayoipata wakazi wa mwanza pamoja na adha ya umeme wanayoipata wakazi wa mbeya kwa kweli hali ni mbaya sana na inatishia uhai na usalama wa maisha ya...
  2. C

    Spika Amuonya Waziri Mkuu Bungeni

    Hakumuonya waziri mkuu bali aliwaonya wabunge na mawaziri yanaoenda kuongea na waziri mkuu na kuwataka waache tabia hiyo na badala yake wamfuate ofisini.
  3. C

    John Tendwa kwenye dk45 ITV

    Nani asiyemjua tendwa, huyo ni mteule wa ccm lazima alinde maslahi ya chama na kwa kuwa maandamano ya chadema yanatishia uhai wa chama chake lazima ayaponde.
  4. C

    Nape aogopa kutia mguu Arusha

    arusha na moshi zilishakuwa ngome za chadema siku nyingi. CCM hazina chao.
  5. C

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    na bado mpaka mheshimiwa azimaliza nvhi zote za dunia hii.
  6. C

    Kunasa simu za watu.!?

    kama ni jabo la uhaini au lenye lengo baya nadhani hakuna tatizo.
Back
Top Bottom