Search results

  1. D

    Mrema: Serikali mbili zitawalinda Wakristu Zanzibar

    Wanajamvi naleta hoja hii nikirejea yanayoendelea kule mjengoni. Sijapata kusikia wabunge wa ccm wakipinga agenda ya serikali, namaanisha Tume ya Rais wao iliyoongozwa na Warioba. Rasimu inayojadiliwa ya serikali mbili imetokana na tume gani? Nawasilisha.
  2. D

    Shahada ya uzamivu (PhD) ya Mwakyembe si halali?

    Kwa hiyo kama hana PhD hawezi kusema habari za wenye PhD? Acha mawazo potofu. Ukiwa ndani ya sisi M huwezi kupinga mpaka ujitoe. Hebu funguka tusubiri ajitokeze.
  3. D

    Sifa kuu tano za mwanamke ambazo mwanaume anatarajia kuziona...

    Jamani kuna sifa nyingine muhimu sana na si lingine, ni hili la kitandani wanaJF, hapo asiwe kama gogo.
  4. D

    PCCB na vyeti vya darasa la saba

    watakuwa walibadilisha jina. Hata mimi nlikuta jina mmoja la mwanzo, la pili limebadilishwa. ilikuwa kama sikosei ni 2008 pccb walitangaza jobu ikabidi niache kuaplai. afu hakuna picha kwenye cheti hicho pia ni bure.
  5. D

    Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    “Suala la wingi wa misamiati migumu na maswali mengi yenye lugha ya kuchenga na yenye maelezo marefu yanatuchanganya. Hata walimu wanaingia darasani wanatufundisha somo la English kwa kiswahili”. nukuu uk. 83 ya ripoti
  6. D

    Tujikumbushe Kauli tata katika kampeni

    JAMANI wako wapi hawa akina : 1. Ole Sendeka? anastahili kupewa kadi ya cdm atakuwa mpambanaji mzuri. 2. Stephen Wasira? sla:high5::A S angel:a kaiba pesa za kanisa!!!! cjui kwa nini anamchafua maskini wakati si mgombea!!!!! apunguze kulala bungeni.
  7. D

    Tujikumbushe Kauli tata katika kampeni

    JAMANI wako wapi hawa akina : 1. Ole Sendeka? anastahili kupewa kadi ya cdm atakuwa mpambanaji mzuri. 2. Stephen Wasira? slaa kaiba pesa za kanisa!!!! cjui kwa nini anamchafua maskini wakati si mgombea!!!!! apunguze kulala bungeni.
  8. D

    Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

    Mi nadhani kesi ya Lema haina uhusiano na kuvuliwa ubunge!!!!! ni maswala madogomadogo ya kinidhamu. Hata hivo JF wasihofu hata likitokea hivyo, Arusha bado itachukuliwa na PIPOOOOOOOOOZ POWER
  9. D

    Benno Malisa awa jasiri, awageuka CCM na kuwatetea CHADEMA Arusha

    Naungana na we mkuu! Ahamie airtel i,e cdm ajisikie huru! Huko anaogopa kuwataja hao watakaowajibika wakati wanafahamika .
  10. D

    Benno Malisa awa jasiri, awageuka CCM na kuwatetea CHADEMA Arusha

    Naungana na we mkuu! Ahamie airtel i,e cdm ajisikie huru! Huko anaogopa kuwataja hao watakaowajibika wakati wanafahamika .
  11. D

    Naombeni ushauri

    kukosa kazi! Mh, sidhan kama kuna uhusiano kati kazi na mapenzi! Namaanisha bosi atatumia kigezo gan kumfukuza mshkaji? Atamwoa yeye?
  12. D

    Walimu waongoza kwa kuolewa ukilinganisha na sekta nyingine

    <br /> <br /> niambie fani yako nikuoe mi sichagui fani bali mke mwema! Una miaka mingapi?
  13. D

    Je ni busara kwa mpenzi wako kukwambia pindi atongozwapo? Utachukua hatua gani?

    <br /> <br /> duh, ushauri wako naukubali bt nahis umemiks venakula mf. Kugecha, dinyana!!
  14. D

    msaada kwa hili

    Tamaduni ipi hiyo jamani? Nilikuwa nawaza mkeo kalala na mamake chumba kingine kati vyumba vyako 4 niseme kapitiwa na usingzi huko wakiwa ktk stori, c unajua tena mama na mwana? Nadhan ulipaswa kumuuliza juu ya jambo hiyo 2jue karespond vp 2jue 2shaurije huenda hajui km ni mwiko!
  15. D

    Hivi wanawake wana akili ya mapenzi kweli?

    Hata we hapo umeonesha udhaifu kutembea na dem uliyeonana siku hiyohiyo, naye ni binadam mwenye hisia kama zako! Au unabisha?
  16. D

    Kuna ukweli hapa?

    Ukitaka kujua kama kuna ukweli fanya utafiti mwenyewe utagundua.
Back
Top Bottom