Search results

  1. A

    UN: 3,000 African Troops Have Died Fighting al-Shabaab...

    miaka yote hiyo wameficha idadi ya walouliwa, ingelikua ni wazungu hapo, tungejuulishwa mmoja mmoja.na kinacho shangaza tuunambiwa hawa alshabaab ni kikundi kidogo lakini nchi kumi za kiafrica na mabingwa wa anga america na drones zao bado hawaja wapiga tu.
  2. A

    Nairobi pachimbika...fujo baina ya wakenya na wasomali mitaa ya Eastleigh!

    i was very surprised to see kenyan and somali who lives in kenya supporting their country to go to war in Somalia because anyone with any brain would see this disaster coming, you expect Kenyan army to go and bomb alshabaab while you in kenya are enjoying and watching the war on television...
  3. A

    We baba huyu uliyemvaa ndiye adui yako.

    yeye ndio anona ndio mwokozi wake kwa vile amempa fulana
  4. A

    Kupenda kusikiliza kila unaloambiwa na watu

    hiyo inaonyesha utakalofanya wewe basi kuna watu wataona una makosa.
  5. A

    hawa ndiyo Al shabab

    jamani twaona huu ndio unyama na wakati hao wako vitani, unyama ni ule tunaowafanyia ndugu zetu zeruzeru kule mwanza.
  6. A

    Kasheshe limeanza Iran vs Israel / USA ?

    israel,america, iran na saudia wote ndugu hao wala wasiwaumisheni vichwa.
  7. A

    President Sheikh Ahmed Dismisses Accusations behind Jazeera Hotel bombings

    wanatafunana wenyewe kwa wenyewe sasa
  8. A

    Museveni storms out of meeting

    si wanataka vita, waache wafe kwa ebola.
  9. A

    Kenya Acquires Drones to fight al shabab terrorist and for regional security

    naionea huruma kenya kwani nahisi itakua kama pakistani, hata somali kukitulia basi alshabaab wa kikenya wataviendeleza vita ndani ya kenya.
  10. A

    Lots of Oil in Lake Tanganyika: Survey

    sisi tuwe na mafuta zaidi ya saudia basi hayatotufaa sisi bali wataneemeka vigogo tu.
  11. A

    Umri unaofaa kumtahiri mtoto

    ni vizuri kumtahiri siku ya nane kwa sababu ndio sunna ya mitume, na ukimtahiri akiwa mchanga inakua hajitoneshi kwa sababu hajaanza kutembea na kutambaa.
  12. A

    Hawa waliga kuwa wamefunga sasa nini kimetokea

    pengine wapo kwenye period zao
  13. A

    Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

    sasa mnalalamika nini??? solution musiwapigie kura tu, lakini kila kukicha mnapigia kampeni vyama vyenu vya siasa na kuwasifia mie nataka wapeane milioni mia kwa siku si washapata mijinga.
  14. A

    Loo Maskini..hii ni Tanzania??

    si peke yako kaka na mimi pia. inatia huruma na usishangae ukaambiwa nchi yake imejaa mali za kila aina.
  15. A

    Poverty in Afghanistan

    that is the price of democracy, enjoy it, this is just the begining.
  16. A

    Waalimu wote na wapiga chabo inawahusu hiiiii

    hamna kusoma hapo.
  17. A

    US will not match Iran military power in Persian Gulf: Commander

    hao iran wanajitamba tu, subiri mvua ya mabomu iwaangukie tu.
  18. A

    Saudi Princess Sarah seeks asylum in Britain - rumors of Saudi King Abdullah's death circulating

    ukiangalia historia utaona kwamba saudia ilikua chini ya ottoman empire, lakini mwingereza na family ya al saud walipindua na ikapachikwa family ya saud kutawala.
  19. A

    Iran to mass-produce new laser-guided anti-tank system

    aliemfanya iran awe na jeuri na nguvu ni america kwa sababu yeye ndie aliemuondolea maadui wake wakubwa na anaowaogopa sadam hussein na taliban.
Back
Top Bottom