Search results

  1. MWL MTZ

    Dr Slaa ajibu upotoshaji wa Mwandishi Mayage dhidi ya CHADEMA

    Swala ni kwamba mwanaharakati wa ukweli kama dk, Slaa kulipwa mshahara ml, 7. Aiseeeeee ni mkubwa mno wakati mtanzania anayempigania na kumtete anaishi chini ya dola 1 kwa siku , nina mashaka nae kama kweli si fisadi maana mshahara wake unaweza kuwalipa mshahara walimu ngazi ya degree 18...
  2. MWL MTZ

    Dr Slaa ajibu upotoshaji wa Mwandishi Mayage dhidi ya CHADEMA

    wengine ni wafanyakazi wa kata?
  3. MWL MTZ

    Dr Slaa ajibu upotoshaji wa Mwandishi Mayage dhidi ya CHADEMA

    Swala ni kwamba mwanaharakati wa ukweli kama dk, Slaa kulipwa mshahara ml, 7. Aiseeeeee ni mkubwa mno wakati mtanzania anayempigania na kumtete anaishi chini ya dola 1 kwa siku , nina mashaka nae kama kweli si fisadi maana mshahara wake unaweza kuwalipa mshahara walimu ngazi ya degree 18...
  4. MWL MTZ

    Hii ni aibu kwa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.

    tetesi hazina tofauti na khali halisi kaka, zimetoka jikoni tusubili tu,
  5. MWL MTZ

    Wanafunzi 18000 wa kidato cha 3 hawajui kusoma na kuandika-nani alaumiwe?

    Tatizo ni kwamba walimu wapo kwenye mgomo siku nyingi sanaaa. ndo mana wanafunzi wengi hawajui kusoma. usione wanakwenda kazini lakini hawafundishi kabisa sababu ni mishahara midogo na malimbikizo ma madai yao. habari kamili uliza cwt.
  6. MWL MTZ

    Hii ni aibu kwa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.

    kwa tetesi nilizozipata kutoka chanzo kimoja ni kwamba matokeo ya mitihani ya darasa la saba na form 4 ya mwaka huu yanayotegemewa kutoka hv karibuni ni kwamba kiwango cha ufaulu kimeshuka tena.hivi wizara haijui kwanini wanafunzi wanafeli?kwanini kila mwaka tulalamikie hili?
  7. MWL MTZ

    Education vs unemployment

    Jamani hivi hii elimu yetu hapa Tanzania inaweza kundoa tatizo la hukosefu wa ajira maana kuna vijana kibao wamemaliza vyuo vikuu na wapo tu bila ajira wala shughuli yoyote.wengine wamesoma internation relation, education, statistics, business administration, public administration, law, rural...
  8. MWL MTZ

    Mgomo wa walimu nchi nzima

    hivi chama cha walimu tz kutangaza mgomo wa walimu nchi nzima mwakani baada ya likizo utafanikiwa kweli, wamejipanga? maana nijuavyo mimi migomo mingi imeshindwa kuleta mabadiliko kutokana na tofauti kati ya walimu wenyewe pia hata walimu kutokuwa na imani na chama chao [cwt]. mfano mwaka...
  9. MWL MTZ

    Kujiunga na jeshi

    kwa yeyote yule anajejua taarifa za kujiunga na jeshi kwa wale wenye proffesionals atujuze maana nasikia waliokwenda wamemaliza course.
  10. MWL MTZ

    Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    no evidence or research no ringt to speak, habari zote ni za "eti" alafu kufeli mtihani si kipimo tosha kwamba huna akili? je waliofaulu wanamzid nini? hivi kwenu ninyi wote walifaulu kama sio tabia ya nyani kuona lamwezake tu. acheni ushabiki wa kisiasa bana........................
  11. MWL MTZ

    Wanafunzi wenye vipaji maalum!!!

    hivi ebu tumieni akili kidogo hao walioitwa special [talented] walikuwa special kati ya wajinga wale wakutupwa, ni wazi kuwa hawawezi kufika mbali wala kufanya mapinduzi yoyote ndo mana tunalia na matatizo kila kukicha. tena wengine wamezidiwa na wale wajinga [vilaza] kimaendeleo. ni aibu...
  12. MWL MTZ

    Msaada wa ada watanzaina

    Je umejaribu kwenda kwenye mashilika ya dini? Je serikali za mitaa, kijiji au kata wamekupa msaada gani? Pia onyesha kama kuna juhudi zako binafsi ulizozifanya ili watu wavutiwe na waweze kukusaidia, mwisho taja chuo ulichochaguliwa [kwa rejea] na kiasi kinachoitajika. ni ushauri tu.
  13. MWL MTZ

    Walimu wapya 23027 wadang'anywa na serikali

    serikali kupitia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia elimu katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Jumanne Sagini walitoa kauli kupitia gazeti la mwananchi la tarehe 06 November 2011 walihaidi kuwa kufikia...
  14. MWL MTZ

    Kuajiriwa kwa walimu wapya lini?

    soma hii habari ya gazeti la mwanachi
  15. MWL MTZ

    Mwizi wa simu za mkononi akipata kichapo

    HUKU MTAANI KWETU TUMECHOSHWA NA WEZI WA SIMU, hii imetokea ja na trh 11/11/2011 morogoro kata ya kichangani mtaa area six ninja baada ya kijana mmoja anayesemekana ni mkazi wa kata ya kilakala mjini hapa baada ya kumpola mama moja simu yake ila wananchi walifanikiwa kumkamata na kumpa kichapo...
Back
Top Bottom