Hata mimi nilishangaa sana kuona hiyo meli. je, Hiyo picha ya mv islanders wakati imebinuka ilipigwa na nani? na ipoje? waokoaji wetu wa mwanzo hawakuiona meli walipofika eneo la tukio , sasa picha imetoka wapi?
mwanaume kakuzalisha mtoto halafu hataki kutoa barua,ukimwambia kajitambulishe kwa wazazi hataki na anataka kuendeleza uhusiano. Je, huyo mwanaume ni mkweli au anataka kunipotezea muda tu. Tuna miaka mitano kwenye uhusiano.
mwanaume kakuzalisha mtoto, ukimwambia nenda kajitambulishe kwa wazazi hataki, halafu bado anataka kuendelea na uhusiano na huyo binti. Je, huyo mkaka ana mapenzi ya kweli au ni mlaghai?
Mimi ni mfanyakazi wa Serikali nipo Mbeya, nina elimu ya degree ya sheria, ila ninafanya kazi tofauti na sheria, hivyo kutokana na ugumu wa maisha nimeona bora nikope bank ili niweze kuanzisha biashara kwa ajili ya kuongeza kipato.
Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara.
Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo?
Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa. Hiyo pesa nimekopa bank.
Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara.
Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo?
Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa.
===========
SIMILAR CASES:
===========
May 18, 2012:
May 10, 2014:
May 16, 2014...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.