Division kwa level ya form two sio kipimo kizur kiukweli. Hiz division kwa miaka yetu tulikuwa tunakutana nazo form four maana kitendo cha kusema div one, two, div 3 na div 4 ni kufaulu kiukweli hii four inawafanya watoto wengi kuanza kupunguza masomo mengi akiwa vidato vya chini kwa kuona ana...
i like ur idea but as capital always ndo kikwazo sidhan kwa hali ya sasa ilivyo kama ningekuwa na capital nikawaza kutafuta kazi badala yake ningekuwa nawaza kufungua mishe zangu ndugu
habari. mim ni final year natarajia kuwa mtaani next month so kwa course niliyosoma ya computer science ningependa sana kuwa mwalimu wa hii fan. so kwa yeyote au anafahamu kuna Institute,college au hata center nzuri inatoa course za computer science na wanahitaji mkufunzi ni vizuri ukaniconsult...
Necta->Wewe & -Necta
.'. -Wewe
hapo dogo mim nimeprove by Fallacy of Denying the Hypothesis
bila hivyo naona sasa Hakukua na Haja ya wewe kuitegemea Necta Lasivyo Hatuna Necta...
Mbururalization Imefanyika mwaka huu.... Hongereni kwa kumbururwalizi na Necta
Hey! habari jamani, nahitaji kununua cherehani hebu mwenye uzoefu na hizi vitu anisaidie kunipa detail yoyote kuhusu aina nzuri na bei hasa nzuri za cherehani.
Hello! wana habari wan jamii forum wenzangu siku kuu imeendaje? hope it was good. Kama nilivyosema hapo juu software za bure zinanipa taabu keli sasa any one ajaribu kunisaidia plz ni hivi nili instal IDM ya bure as trial ikawa inapiga mzigo bila tatizo so after 30days kitu kikataka nijiregist...
okay! I'll try. But kuhusu kusimamisha kwangu tena imekuwa ni taabu maana hata nikitembea na she alfu fikra zangu zikianza kumjengea picha du huwa jamaa yupo fasta anasmama na kuninyima hata poz. Ila tatizo ni hapo tu napotaka nami nipate raha ya dunia matokeo yake naishia kuumia na kulia maan...
ok! Thanx let me try it. But hiyo asali natumia pale tu napotaka kufanya kitendo hicho au natumia kama doz ili initibu jumla jumla? Pia nalamba au naipakaa ktk uume? Napata taabu kweli.
ahsante but ktk kipind cha advance chote nimekuwa nikijaribu kama 7times but the problem still ndo linaongezeka. Sasa nipo chuon naogopa hata kumtongoza msichana hata kama nikiwa nimevutiwa naye najikaza tu.
Dr hili ni tatizo ambalo sasa nimeamua kuomba msaada kwenu maana nilipoanza kufanya sex nikiwa form 4 hali hii ilinitokea nikaipotezea nikiamini kuwa ni kwa sababu ni mara ya kwanza na pia sikutaka kuumiza kichwa changu ukizingatia nilikuwa ktk mwaka wa mwisho wa masomo ya o-level. But hii hali...
Duh! naona mnanipa vidonge vyangu. nilitegemea haya yote maana si kitu cha kawaida kwa mbongo kama mimi kupigwa pending kwa miaka mitatu yote. that y nimeona wengine wakiniambia mimi ni mshamba others mimi zoba but yote kwa yote mimi nilitaka mawazo yenu tu maana kufikia hatua hii niliyoifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.