Search results

  1. W

    Natafuta kazi, hii ndio CV yangu

    Kaka nakushauri pitia kwenye NGPOs kwa uzoefu wako utapata kazi.mungu akutangulie
  2. W

    Naanza kunusa kitu cha Moto ACT Wazalendo

    Mbona zitto mpaka sasa sio mwenyekiti. Zitto ni kiongozi mkuu na mama Anna ndo mwenyekiti. Utaratibu wao tofauti na vyama vingine.
  3. W

    PPF acheni usanii, hayo ndo maswali gani?

    Binafsi nilifanya ya saa mbili ni balaa tupu. maswali hayaendani na kazi hata kidogo. Majibu yametoka kwa wenye kufanya oral?
  4. W

    Kuitwa kwenye usahili PPF

    Leo zilikuwepo awamu tatu na kila awamu INA watu kama mia tano.post ni sita tu.inaboa kweli
  5. W

    PPF Liason interview

    Mie pia nimeitwa. Kwani kwa mliokwisha fanya interview zao, vitu gani wanavitaka? mnafanya kwa muda gani?
  6. W

    PPF Ajira

    Atafutaye siku zote hachoki. Muache akajaribu bahati yake.
  7. W

    Mkopo milioni 35 wewe unachukua milion 5.

    Una wazo zuri lakini kwa nchi yetu hii labda ukopeshwe na ndugu na sio tahasisi hizi za kibenki.kumbka milioni 35 kulipa kwa miaka 8 unaweza tozwa riba ya 25% kwenja juu.Ukijumlisha utakuta unahitajika kulipa kama 43milions.Kama box unapiga serikalini hapo sawa ila kama ni kwa muhindi ni ngumu...
  8. W

    UKIMWI bila Pesa ni hatari...

    Dada kwa iyo elimu yako ziko NGOs nyingi za maswala ya ukimwi zina wahitaji watu wenye hali kama uliyonayo.Umekwisha pitia baadhi ya mashirika ya namna iyo? umuimu wa kutoficha ndo unapokuja hapo,pitia mashirika kazi za elimu yako ni nyingi mno.
  9. W

    UKIMWI bila Pesa ni hatari...

    Dada hautakiwa kulaumiwa ila mimi naomba nikulaumu kasha nikushauri.Wewe si wakwanza kupata ili tatizo na watu hata ambao hawana wana ndugu na jamaa ambao wametutoka au bado wanaishi na ili tatizo.lawama zangu kwako ni kutoanza kutumia dawa mapema.toka 2008 mpaka leo ni muda mrefu sana na kama...
  10. W

    Tanzania one ametoka shule gani

    ni dvision vi au iv?
  11. W

    msichana wa miaka 25 bado bikra

    Kwa iyo huyo mdada kama hautaki kupima una future gani naye.umemsifia kiasi hicho lkn bado unataka kumchezea kama si kumuambukiza.haufai kanisani wala msikitini.shame of you.
  12. W

    Natafuta mke mcha mungu

    Muwe mnapost vitu vyenye maana.
  13. W

    Jamani nadharaulika kisa nasomea ualimu

    Unasomea level ipi? Certificate,doploma au degree? Kama ni degree unaweza pata kazi nyingine the kijamii ikiwa utakua muhangaikaji na uhalimu sio mbaya kiivyo kuna kuna private school wanalipa vizuri sana ambapo unaweza pata mshahara wa figure 7.
  14. W

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mbona hamsemi walimu ngazi gani? sekondari au primary.?
  15. W

    Jamani niende au nisiende? msaada....

    Mwanzo siku zote mgumu.kama kwa sasa hauna kazi ni bora ukaenda alafu dill jingine laweza patikana ukiwa job. Na unaweza ukawa unaishi kwa shem yako hapo ulipo alafu utaki kwenda chukua 500000.shauri yako.
  16. W

    Hii hapa namba yangu.

    Jamaa alikua anatoa move.atarudi kuimalizia.
  17. W

    Advanced diploma in Computer science holder natafuta ajira

    Kuwahi kujibu pasipo kusoma na kuelewa nao si ujanja.kwani haujaona e mail ya jamaa na namba yake ya simu.watu wenginne ni kupinga kila kitu.haifai.
  18. W

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Taarifa kamili ni zipi.Muanzisha mada jitokeze basi utupe matokeo kamili na mahamuzi ya mahakama kwa ujumla.
Back
Top Bottom