Search results

  1. K

    Kwa wanaotaka kufanya biashara ya Alizeti, msimu ndio huu hapa

    Habari, bado unafanya hii biashara ya mafuta ya alizeti?
  2. K

    House4Rent Nyumba inapangishwa ipo kahama,buswelu, manispaa ya Ilemela

    Nyumba inapangishwa ipo kahama buswelu manispaa ya Ilemela ipo pembezoni mwa barabara itokayo buswelu kwenda Ilalila, ina vyumba vitatu, viwili master, public toilet ya ndani na nje ,sitting room, dinning room, kitchen. Bei shs 200,000 kwa mwezi kwa mawasiliano 0713131200
  3. K

    Msaada mafuta ya kupikia/Alizeti Kwa jumla tokea Singida/popote

    Habari, nina kiwanda cha mafuta ya Alizeti kipo Shelui, mkoani Singida. Kama unauhitaji naomba tufanye kazi, nitafute kwa namba hii 0713131200 Msengi
  4. K

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habari ndugu, hitaji lako ulifanikiwa?
  5. K

    Nauza vifaa vya Bakery

    Rejea kichwa cha habari. kutokana na changamoto za uhamisho wa kikazi nimeamua kuuza vifaa vyote vya bakery vilivyopo mwanza. vifaa vyote ni vizima na vinafanya kazi kabisa. vifaa hivyo ni kama ifuatavyo; 1.Oven kubwa la ngazi tatu (jiko la kuoka) = 2.5 2. Proover(mashine ya kuumulia)=1.m...
  6. K

    Watu wanaozungumza kwa kigugumizi wamepotelea wapi?

    Ila kwa kweli umeandika sahihi wamepungua sana hata mimi pia nilikuwa nacho naona kabisa kimepungua sana tu
  7. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ila kafanya vzr maana wangemtoa kweli reli na ndio lengo lao kubwa,bora asione kinachoendelea
  8. K

    Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    Namkumbuka mwalimu wangu wa physics mwakanyamale alifanye nilipende sana somo hili, hakika alikuwa vzr sana
  9. K

    Kadi tatu za njano alizopata Fakhi mchezaji wa Kagera sugar hizi hapa

    Naomba uthibi Naomba uthibitishe kama nilifurahi
  10. K

    Kwetu Kakola na Msalala

    Nadhani hapo badala ya nyasubi ulimaanisha "Masabi"?
  11. K

    Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Usagara hostel tulienjoy Sana na mwalumu wetu shao
  12. K

    Nimeingia cha kike, nikajua ni bonge la App!!

    Nimecheka sana aiaee
  13. K

    Kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti kinakodishwa

    sawa ntatuma picha soon
  14. K

    Kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti kinakodishwa

    Habarini za leo wanajamii forums, nina kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti ni kipya na kipo kwenye jengo jipya kabisa katika kijiji cha shelui wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo ni maarufu sana kwa kilimo cha zao la Alizeti, pia kiwanda kipo pembezoni mwa barabara kuu ya Singida - Igunga...
  15. K

    RE: Kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti kinakodishwa

    mawasiliano zaidi 0713131200
  16. K

    RE: Kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti kinakodishwa

    Habarini za leo wanajamii forums, nina kiwanda cha kukamua mafuta ya Alizeti ni kipya na kipo kwenye jengo jipya kabisa katika kijiji cha shelui wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo ni maarufu sana kwa kilimo cha zao la Alizeti, pia kiwanda kipo pembezoni mwa barabara kuu ya Singida - Igunga...
  17. K

    Kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti kinakodishwa

    Habarini za asubuhi wanajamii forums, nina kiwanda cha alizeti machine mpya kabisa na jengo jipya kabisa lipo shelui wilayani Iramba mkoa wa singida, kiwanda kipo katika miundombinu mizuri pembeni mwa barabara ya Singida -Igunga. Maelezo zaidi (0713131200)
  18. K

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wana kops mbona tupo kimya sana wakati tunafanya mambo makubwa,timu yetu imezidi kuimalika sana huwezi amini toka mwaka huu uanze hatujafungwa katika EPL ni dozi kwa kwenda mbele. Hakika mwaka huu tunafuraha sana na nina imani kombe la EPL lipo karibu sana.kwani vijana wanajituma sana. YNWA
  19. K

    Serikali Impe Ulinzi Said Bahanuzi!

    yanga tumeshamsamehe Bahanuzi, sasa tuangalia mechi zilizopo mbele yetu, ili tutoe dozi za uhakika. Mbel daima nyuma mwiko.
Back
Top Bottom