Search results

  1. kazikwanza1981

    Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

    Usiiwazie hiyo number 6 kwa binadamu utapata sana tabu kuamini, lakini fikiria ukubwa wa uke wa tembo jike.
  2. kazikwanza1981

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Anafanya utani huyo kwenye biashara za watu.
  3. kazikwanza1981

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Kwani unafikiri watu wanampenda wema kwa kuwa chadema au ccm. Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  4. kazikwanza1981

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Mambo yatakuwa shwari vipi sasa uongozi wa kifalme, mwenyekiti miaka nenda miaka rudi ni yuleyule Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  5. kazikwanza1981

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Mwenyekiti hakutimiza masharti Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  6. kazikwanza1981

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Ahaha wewe siyo Kamanda wewe. Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  7. kazikwanza1981

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Wote wasaka tonge tu, hamna mpambanaji hata mmoja. Wanajaribu kutuaminisha tu hivyo. Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  8. kazikwanza1981

    Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Hivi ile clip ya fly to KIA haukuwa umeisikia? Sent from my SM-T813 using JamiiForums mobile app
  9. kazikwanza1981

    Flat tv_tcl smart

    32inch za kawaida ni shiling ngapi?
  10. kazikwanza1981

    Nyumba zinauzwa mil.25 kila moja ni za kisasa mpya

    Ahahaa Dr. hanunui hivyo vibanda. Mtake radhi.
  11. kazikwanza1981

    Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    Ukiwa mshabiki wa upande mmoja ni ngumu sana kuelewa huu ujumbe. Kuna wenzio pia watakuwa hawajaelewa.
  12. kazikwanza1981

    Mwanza: Rais Magufuli atinga uwanjani ghafla kwenye mechi kati ya Buhongwa vs Nyamwaga

    Na wewe kutoa maneno machafu kwa mheshimiwa raisi inakusaidia au inatusaidia nini sasa humu jamvini, au unataka chama kikusifie?
  13. kazikwanza1981

    John Pombe Magufuli ni Rais bora Afrika

    Kagame yupo madarakani muda gani na JPM yuko pale muda gani? Tatizo wapo watu ambao wanaombea siku zote raisi wetu ashindwe kabisa katika kila upande, angalau sijajua wao kama wao watanufaika na nini.
  14. kazikwanza1981

    John Pombe Magufuli ni Rais bora Afrika

    Uzi nzuri sana na ni wenye hekima angalau tegemea matusi toka kwa kikundi fulani cha kihuni. Mungu azidi kumpa afya mh. Rais JPM
  15. kazikwanza1981

    Ramadhan Special Thread

    Wewe nawee!Kha!
  16. kazikwanza1981

    Picha: JKIA Terminal 3 imejengwa kama banda la kuku lililogharimu shs. Billioni 560

    Wanatapatapa kila kona serikali inajitahidi kufanya maendeleo, kila kukicha kuanzisha threads zisizokuwa na kichwa wala miguu.
Back
Top Bottom