Watazungumzia ushahidi dhaifu dhidi yao.
____________________________________________________________________________________________________-
IF I END UP IN YOUR ASS PROBABLY I HAVE A BEND DICK.
Nilikua najaribu kutizama ni nchi gani nzuri kwa kuwekeza ndani ya africa,sikushangaa sana kwa nini hatuko kati ya nchi hizo, kwa sababu ya historia yetu ya kupora mali ya watu (kutaifisha),lakini ni muda mrefu sana toka kipindi hicho, ni kajiuliza tena je ni kwa kwa sababu bado chama ni...
Watanzania tumebweteka na amani sana hadi tukaanza kusahau umoja wetu kama nchi,tumekubali wanasiasa kutuchonganisha na kutuletea udini.na hii inatokana na watu wengi kutokujua madhara ya vita.hebu tizama iraq ambapo madhebu mbili kati ya shia na suni wanavyolipuana watu wanaogopa hata kwenda...
Kuna siku moja tulikua na mkutano mkubwa wa kilimo na mheshimiwa jumanne magembe alisema,sioni kwa nini GMO ya pamba isiruhusiwe kwakua nguo tulizovaa zote ni gmo na sisi hatuli pamba,nilitamani ardhi ipasuke yaani waziri mzima kasahau kua tunakula mafuta ya pamba na mashudu tunalisha mifugo.
Najua nilikua natakiwa kufahamisha kido kwa wale wasiojua GMO nini. kifupi hawa monsanto wanatengeneza kiua gugu inaitwa glyphosate au roundup,sasa sikumoja waka gundua kuna bacteria inaishi kwenye uchafu au mabaki ya dawa,wakaja na mawazo ya kuchukua gene ya yule bacteria kisha kuiweka kwenye...
Kwa mimi hatari kubwa siyo afya pekee, ni pale mahitaji muhimu ya kibinaadam haswa usalama wa chakula unapovamiwa,kwa waafrica tumekua na tamaduni ya kuwa na mbegu zetu ndani ya manyumba vijijini na ni hiari yake kununua mbegu ya hybrid au opv ili apate mavuno bora, sasa unapoleta mbegu ya...
Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa kunionyeshamengi duniani,Kuna jambo ambalo linani nyima usingizi na ni suala tunalolisikiala udini,nime bahatika kufanya kaziubalozi wetu wa Tanzania nchini Somalia miakaya mwisho wa utawala 1990 natulihamishia kazi zetu Ethiopia baada...
kwa muda wa miaka nyingi tumekua tukisikia serikali ikizungumza kilimo kwanza,ukimwuuliza mwananchi maana yake ni nini wengine wasema ni powertiler wengine ruzuku wengine hata wanayaita landcruiser new model kilimo kwanza,sishangai kwani wakala wengi wamechakachua mpaka haieleweki inamaanisha...
hivi kitu ambacho sisi watanzania hatuelewi ni ukweli kuhusu uchumi.rasilimali kama dhahabu gharama ya uchimbaji ni kubwa mno uliza wachimbaji wadogo watu wangapi wanatajirika kwakuchimba dhahabu.uchumi wa kisasa ni kama singapore ambapo ni wa viwanda lakini kwetu ni ndoto wazawa wengi wenye...
mama mmoja wa mkoa wa kilimanjaro alimuuliza mama wa kiswahili hifi mamananihii subeda haonekani sikuhisi amemsafirisha?mama akajibu mwanangu kavunja ungo simrusuhu atembee tena,mama wa kilimanjaro mbula kafunja ungo tuu?makdalena kajunja jagi hizo?mbilli tfi,fikombe hasihesabiki sijui na mimi...
tuna zungumzia wasomali wabantu sio hao ukiwaona unajua ni wasomali hao walisha kujaga kipindi fulani miaka ya 92 na serikali ikawapa uraia na kusema tunawarejeshea uraia wao wana ngomazao za asili kuna wengine ni wadigo.hao ndio wakwetu na hawasafiri kama hao vichaa wenye nwele laini.
Mnamo karne ya 19 enzi ya utumwa kuna watanzania walichukuliwa na waarabu na kuachwa Somalia na wanaongea kiswahili, population inakadiriwa laki tisa. Wanajulikana kama Somali bantu google utaona.
Tuwaombeni mungu awaondolee matatizo ni watu wetu walichukuliwa bila kupenda.
leo nilialikwa kwa jamaa yangu,baada ya kumaliza msosi nikaulizia toothpicks mwenye nyumba akamwuuliza housegirl toothpicks iko wapi? house girl nikitu gani baba hicho?jamaa akafafanua ni vile vijiti vya meno.housegirl akaseme baba imeisha,jamaa akaja juu imeishaje na hali nimenunua juzi tu...
mara nyingi ni vizuri uangalie kama alshabab ndio walizuia mvua isinyeeshe toka 2009,na picha ya tatu hapo juu google hao ni somali bantu ndugu zetu asili yao bongo.wapumbavu sio hao watoto wala wamama wanaokufa na njaa ila kama una busara na una dini ujue hilo,kwenye vita wanao umia ni raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.