Chadema ni, chama makini na kina watu makini, hata maamuzi yake ni makini sana.
hawa jamaa wa Chadema ni watu makini.
Wengi wao umri wao ni wa kati, lakini wanafanya mambo ambayo yangefanywa na watu wa wakati wa nyerere.
Sidhani kama wanaweza kukurupuka ktk hili
Ni ukweli mtupu wandungu!
kuna msafara mrefu sana, Bodaboda mbele, baiskeli, daladala, saloon cars zinafuata.
Wazee wa maamuzi magumu wanafanya mkutano ndani ya manispaa ya Arusha.
hili nalo neno!
Kwa sisi tulio huku Bongo, tunapiga magoti na kuwaombea Kwa Mugngu ili awatie ujasiri wa kufanya hilo ambalo ni JEMA sana kwa ajili ya ukombozi wa wa-TZ wootee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.