Search results

  1. mimyv

    siku salama kufanya mapenz

    nimegundua wanawake wengi wanaishiaga kupata mimba na kuzitoa au kujifungua, lakini wanatatizo kubwa sana la kushindwa kujua siku salama na zisizo salama kufanya mapenz... tusaidiane kuelimishana wa JF
  2. mimyv

    I am Dating Older Women

    date sana kaka mimi nadate mtoto mdogo, like sio sana lakini nimemzidi sana...mapenz yetu ni so intresting n due to that we will b togther forever... mi nakusupot ila naomba jitahidi sana usidate mtu wa umri wako its disaster
  3. mimyv

    Mpenzi wangu amenipiga mkwara wa kuangalia au kushika simu yake

    mhhh mapenz bwana...ndugu yangu kiuhalisia apo unaibiwa if at all ni mpenz wako au wee ndo unaiba otherwiz -maamuzi ni yako ila mambo yako uchi kabisa apo...ebu jaribu kufkiri wewe ungekua hutaki aguse sim yako sababu ingekua nini???kwamba unaiba vocha????
  4. mimyv

    Kanipenda lakn simfahamu

    atakua kakupenda kweli au kakutamani like unamwonekano mzury...ila sasa bro, sio kila jani simba anakula
  5. mimyv

    Unapenda msosi gizani au full mwanga?

    giza co issue sana ila nahis usiku kuna kitu flani kinaongezeka...atakama taa zimewashwa lakini ile kitendo ya kua usiku uko njee na katemperature basi bamia inateleza safi kabisa
  6. mimyv

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    - cc bwana!!!!!!!!!1-tunaporojo
  7. mimyv

    Mnyika, please take few steps ahead and you are there...

    pamoja na yote, makelele ya wananchi kumsifia yasimfikishe pabaya...tetea tu haki za watu itakua inatosha jus avoid exaggeration
  8. mimyv

    Kubebana kabla ya ndoa ni suluhisho la wanandoa??

    mi cfkiri ivyo... watu wangapi wameoana kwa ndoa na mambo mabovu tu? nimeshtuka kuona unaniambia uchunguzi mdogo uliofanyika ..." umefanyika wapi na takwim zinasemaje...???? izi mambo hazina formula, japo kimaadili ya kitanzania yale yalowekewa misingi yanataka ndoa kwanza...itategemea tu mtu...
  9. mimyv

    Kubebana kabla ya ndoa ni suluhisho la wanandoa??

    mi cfkiri ivyo... watu wangapi wameoana kwa ndoa na mambo mabovu tu? nimeshtuka kuona unaniambia uchunguzi mdogo uliofanyika ..." umefanyika wapi na takwim zinasemaje...???? izi mambo hazina formula, japo kimaadili ya kitanzania yale yalowekewa misingi yanataka ndoa kwanza...itategemea tu mtu...
  10. mimyv

    Cover letter

    ujue wewe ni kati ya haya yafuatayo-mjinga-mtoto-unamzaha muda wote au keyjey
  11. mimyv

    Kwanini wanaume wengi huwaogopa wanawake wenye sifa hizi?

    yani kunakatatizo kidogo na wanawake wa style yako....chamsingi sio ukae hapo ushangae, tafuta tatizo rekebisha lasivyo utashangaa tu...i tel ya, hamna mwanaume anapenda kusumbuana na mtoto wa kike.....ukileta usumbufu ndo atakucheat au atabaki kula kitungi tu kuburudika na maisha yake
  12. mimyv

    Jamani Housegirl wangu Huyu, Ananitafuta ubaya! (STRICTLY KWA WANAUME TU)

    ndugu yangu utakua umelogeka...maana sioni ata unachojiuliza, kama umeshaona itakuletea shida kwenye ndoa yako fanya maamuzi magumu tafuta mschana wa kazi ambae hana mvuto kwako....afu ujishike maana nahis kuna sababu ya wewe kufkuza sana ma h/girl
  13. mimyv

    Kikwete alikuwa anafaa sana kuwa waziri wa mambo ya nje

    definitely this is not the type of president we wanted. ila sioni kama anakosea sana, maana hata angejifungia ikulu simuoni kama mtu mwenye kutufanyia uamuzi wa mwisho katika mambo mengi ya msingi...ni bora akatembea tembea kama kisingizio cha kuchelewesha maamuzi pia nnaamini bora mtembea bure...
  14. mimyv

    Zitto Kabwe kumponza Dr Kitila Mkumbo?

    -nahis naiona hoja yako kwa mblali ila ni hoja nyepesi. Na kimsingi, co lazma kila mtu kutoa maoni kwa kila jambo ndani ya chama
  15. mimyv

    Dr. Slaa na CHADEMA, mpo wapi?

    tuachanae na mambo ya kung'ang'ania chama bwana. Nahis tufike maali tuangalia potential people rather than a chama....nnapenda kumuangalia jembe Ben awamu ya tatu, japo alitoka chama hikihiki cha kijani, alikua na maamuzi na mtizamo wake tofauti sana, wether anakosea au anapata...mimi kwa...
  16. mimyv

    Wabunge wa CCM wapigwa Mkwara

    if the rumor is true, i can see their logic simply bcoz they like power and they r not willing to expose their true colors
Back
Top Bottom