Search results

  1. dhahabuinang'aa

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr Slaa.
  2. dhahabuinang'aa

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Ndugu Mpendwa Ahsante sana. nimepitia nashukuru jina la Mke Wang nimeliona. Ubarikiwe kutuwekea hii Link
  3. dhahabuinang'aa

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Mbona mwaka huu kama vile hapaeleweki. Namsubiri Wife ahame ila hata Dalili sizioni. hawa Tamisemi Vipi?
  4. dhahabuinang'aa

    Tundu Lissu ashindwa kufanya mkutano Kiomboi, Iramba Viongozi wakerwa na tabia yake!

    HUU NI UONGO WACHANA KWEUPE!! Kwa habari za uhakka kutoka katika eneo la tukio ni kwamba mkutano umeahirishwa kutokana na gari la Tundu Lissu kuharibika na hivyo kushindwa kuendelea na safari ili afike Kiomboi.
  5. dhahabuinang'aa

    Mwanachama wa CDM atoa kiwanja chake kwa kujengwa ofisi ya CDM Nyamagana

    Hapana hujamwelewa ameunganisha. Katika mkutano wa hadhara wa Mh Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA. jijini mwanza, mtu moja ametangaza hadharani kutoa kiwanja chake kwa ajili kujengwa ofisi ya chadema. Source: ITV HABARI SAA 2 UCKU J3.
  6. dhahabuinang'aa

    CHADEMA Mwanza almanusura wazipige

    Mmmmmhhh!!! kajipange vizuri uje tena hapo umebugi!!
  7. dhahabuinang'aa

    Dr. Slaa ni Jembe

    Huna jema we na kejeli zako. ila hata jina la mtu humtambulisha mtu na Tabia zake.
  8. dhahabuinang'aa

    Taasisi ya urais imekosa thamani

    Ama kweli Hii ndi Tanzania ni Shamba la Bibi.
  9. dhahabuinang'aa

    Msajili apokea malalamiko ya Mwigamba

    Kwani ni Lazima Uwe Chadema ukiona hakikufai si unatafuta Chama chenye katiba inayokupendeza wewe? Anaeiona Cdm haiko sawa akae pembeni atuachie chama chetu.
  10. dhahabuinang'aa

    Kikwete: Sipendi Kusutwa, Niiteni Bwana Maendeleo!

    Nawasalim wote wana JF Ushauri kwa Rais wangu Ili Watu Wapate Kitu Toka Kwake Waweze Kumkumbuka. Awam ya kwanza Rais wangu ulichaguliwa na wananchi wako wakiwa na matumaini makubwa sana kwako.na Kauli ulizoingia nazo watu wakaamini kuwa kweli ni Chaguo sahihi ila siku zilianza kwenda ukiwa...
  11. dhahabuinang'aa

    Mansoor hatokwenda mahakamani kutetea nafasi yake

    ccm kwa sasa chaguzi ndogo kwa sasa labda wapate msaada wa polis,tume n.k kihalali hawezi kushinda popote pale Tanganyika hata Zanzibar huru.
  12. dhahabuinang'aa

    Katiba Mpya: Dk. Slaa awasilisha maboksi 17 - Yanahusu maoni ya Katiba, Warioba agoma

    Mmekurupuka na mleta mada. hiyo Randama mnaijuila? hayo ndio maoni ya wanainchi kupitia CHADEMA hayo mabox 17 ni ushahidi tu jinsi hayo maoni yalivopatikana. naona mnatokwaaa na povu mdomoni mnawalowanisha walioko mbele yenu.
  13. dhahabuinang'aa

    Ni lini CHADEMA itakomesha udhalilishaji wa viongozi wake dhidi ya serikali na washirika wake?

    Habari wana JF Huwa naumia sana pindi nionapo kiongozi wa CHADEMA pindi anapokamatwa awe na kosa au iweje haijalishi. Mbunge wa ccm akihitajika police ni tofauti na wa CHADEMA huyu utadhani labda ni jambazi sugu. tuliwahi kusuhudia kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama akalala ndani na kupelekwa...
  14. dhahabuinang'aa

    Waraka Mwl Shukia kwa Mwigulu Nchemba

    2015 sio mbali sana ujue.
  15. dhahabuinang'aa

    Waraka Mwl Shukia kwa Mwigulu Nchemba

    Huu ujumbe ni wako kwakuwa umerudi usome kwa makini na kuutafakari kwa kina.
  16. dhahabuinang'aa

    Diwani wa CHADEMA afanya Mauaji huko Kagera

    Duu ukombozi una vikwazo vingi sana mtu unauziwa kesi ya mauaji kisa tuu we huko ccm!!
  17. dhahabuinang'aa

    Viongozi CUF waendelea kulia na CHADEMA

    eti wamesema ni pekee waliowza kuiendesha kambi rasimi ya upinzani bngeni kiufasaa. eti CDM wao ni wa fujo tuu.
  18. dhahabuinang'aa

    Viongozi CUF waendelea kulia na CHADEMA

    na cha ajabu katibu mkuu wa cuf amepandishwa jukwaani na mkuu wa wilaya y Singida mjini. hapo inadhihirisha kuwa lao ni 1 ccm na cuf. wamelenga zaidi kuichafua CDM.
  19. dhahabuinang'aa

    Historia fupi ya jina la slaa katibu mkuu wa chadema.

    Mkuu katika wajinga niliowahi kuwapata wewe umshikilia bendera unawaongoz yaani wewe ni # 1. yaani umekuja na pumba ambazo haziwezi kutusaidia lolote we jina lak linakuhusu bila hata aibu unamwambia aje ajibu! ajib lipi huu utumbo wako? aache kuelekeza nguvu kwenye mambo ya aje ajibu ujinga...
Back
Top Bottom