Search results

  1. President Elect

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    time will tell... twelve years ago... twelve years to come....
  2. President Elect

    Uzinzi ni dhambi lakini si kosa kisheria

    Usiue = kuua ni kisa la jinai Usiibe = wizi ni kosa la jina Usizini = ????
  3. President Elect

    Katiba inasemaje: Rais akifukuzwa uanachama na chama chake?

    that's a very good and valid point, akivuliwa uanachama........urais kwishney.....jipu kuu haliwezi tumbuliwa......coz hata akiwa m/kiti bado anaweza undiwa zengwe akavuliwa uanachama.
  4. President Elect

    Katiba inasemaje: Rais akifukuzwa uanachama na chama chake?

    namshauri m/kiti amkabidhi kijiti rais mapema iwezekanavyo, ili kuepusha msuguano wa kimaslahi baina yao.
  5. President Elect

    Katiba inasemaje: Rais akifukuzwa uanachama na chama chake?

    nimekuelewa kidogo, kwa mfumo wa siasa za nchi yetu chama tawala kina nguvu kuliko rais, hapo kweli m/kiti ni kama bosi wake hadi pale atakapomkabidhi kijiti.
  6. President Elect

    Katiba inasemaje: Rais akifukuzwa uanachama na chama chake?

    kweli taifa liko nyuma ya rais, na rais yuko nyuma ya CCM, wote mbele kwa mbele!
  7. President Elect

    Katiba inasemaje: Rais akifukuzwa uanachama na chama chake?

    jibu zuri, asante. sasa tuchukulie hali ya sasa ambapo m/kiti ana nguvu na ushawishi mkubwa kwa chama chake na upande wa pili rais ana dola nyuma yake, ikitokea wawili hawa wakahitilafiana mmoja kwa maslahi binafsi na ya wanaomzunguka na wa pili kwa maslahi mapana ya taifa letu, je m/kiti au...
  8. President Elect

    Katiba inasemaje: Rais akifukuzwa uanachama na chama chake?

    Endapo itatokea chama cha siasa kikamvua Rais uanachama, je Rais atapoteza sifa ya kuwa rais?
  9. President Elect

    Msaada: Jinsi ya kuifanya simu yangu ya Voda ipokee Laini ya Airtel

    Slave upo juu mkuu, tupia na hii Vodafone Smart Tab 3G 355860065611962
  10. President Elect

    Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar zitakuwepo?

    The way I see it, JPM hataenda znz siku ya Mapinduzi. Kama kagomea gwaride uhuru day, atashiriki vipi gwaride Mapinduzi day zenji?
  11. President Elect

    Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar zitakuwepo?

    Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar kweli zitakuwepo mwakani? Kama tisa Desemba tunafanya usafi nchi nzima, yamkini Januari 12 sherehe za Mapinduzi Zanzibar nako watafanya usafi kama sie huku bara. Yetu macho, subira yavuta heri.
  12. President Elect

    Katiba inasemaje endapo mshindi wa urais atashindwa kuapishwa?

    ni kweli kurudia uchaguzi inakuwa bora zaidi maana chaguo la wengi anakuwa hayupo tena, ila wazo la mshindi wa pili kuapishwa nalo si baya kuepuka gharama za kurudia uchaguzi!
  13. President Elect

    UKAWA mkishinda urais tupeni Waziri Mkuu mwanamke

    'wa kuchaguliwa' hapo nimekusoma vizuri sana. Endapo CHADEMA ikatokea kushinda urais na CCM ikapata wabunge wengi wa kuchaguliwa ina maana Lowassa atakuwa na waziri mkuu toka CCM?
  14. President Elect

    UKAWA mkishinda urais tupeni Waziri Mkuu mwanamke

    Najua mgombea wetu JPM anaongoza kwa kura nyingi katika majimbo yaliyotangazwa na NEC hadi sasa. Hata hivyo endapo utatokea muujiza matokeo yakageuka basi nitawaomba wana-Ukawa watupe Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa letu!
  15. President Elect

    Katiba inasemaje endapo mshindi wa urais atashindwa kuapishwa?

    waliopo jirani na viwanja vya karimjee au uwanja wa uhuru watujuze kama doria imeimarishwa siku mbili hizi
  16. President Elect

    Katiba inasemaje endapo mshindi wa urais atashindwa kuapishwa?

    naomba wajuzi wa katiba watujuze, tunajua rais akipatwa na jambo la aina hii makamu wake ndio mrithi. Je ikitokea kabla hajaapishwa katiba inasemaje?
  17. President Elect

    Katiba inasemaje endapo mshindi wa urais atashindwa kuapishwa?

    Katiba inasemaje endapo mshindi wa urais atashindwa kuapishwa, labda kutokana na ugonjwa au kifo? Je mgombea mwenza ataweza kuapishwa badala yake, au itabidi uchaguzi urudiwe upya?
  18. President Elect

    We have not hired North Korean technician - General Davis Mwamunyange

    Time and time again, this time only time will tell when it's the right time to tell the time! How powerful the time can be 'coz it's just a matter of time, we all know our General is very punctual and always on time, but only this time it has been a prolonged time of his absence in person...
Back
Top Bottom