Ujio wa Tundu Lissu utaleta shinikizo kubwa sana kwa serikali. Tofauti na mizaha ya watu, Na figisu figizu lolote la wanasiasa za ccm kwa akili za ujinga wa zamani hazitaicha serikali salama sana.
Kwa perepeche za hii nchi hakuna mtz anaweza andika ukweli ktk habari ya paragraphy 3. Wajamaa wanapima wema kwa kipimo cha uovu wao.Waliharibu nchi sana yeye na nyerere,mali zikatupwa tupwa bila kujali.Watu waiofilisiwa wakapunguzwa nguvu,Matokeo yake wahindi na waarabu wakapata advantage zaidi...
Mwandishi kaandika historia ya Biblia ambayo haisemi tofauti ya Biblia. Pia mwandishi hajui kuwa Biblia ni library ya Vitabu. Vitabu alivyo navyo Myahudi vinamtosha, Mkristu ana Injili yake inamtosha,ila kwa vile Ukristu unaanzia kwa wayahudi kuweka agano la kale ni kuporesha historia. Vitabu...
Hivi hamna historia ya maana km vile hao mashujaa wenu kuwapiga nchi nyingine?Au hao wanaojiita mashujaa wa usalama wa taifa na majeshi ya kupiga raia,tusikie waliweza hamisha mahela nchi fulani, wakashinda kesi kadhaa za kiuchumi?
Teh Teh..Msijilishe ujinga km vile nyie ndio mbebarikiwa sana.Tundu Lissu kapigania mengi sana ambayo mnayafaidi.Na wakati anahatarisha maisha nyie mlijidai mnaokoa yenu.Ila matunda mnataka. Muwe na shukrani .
Haha CCM mnapigana vibaya....? Na mimi hapa napenda mshamba awaumbue hao jamaa wanalilia fadhila karne hii km vile nchi yao tuu na wao tuu ndio wajirithishe. Jamaa anatakiwa achimbe sana. Achimbe tuu tuone ,matope. Wakiangalia nyumba wajione hawana tofauti na vinyimbo vya akina dully sykes...
Hivi Januari na Hussein nani ni mtoto wa mwinyi kuliko mwingine?Nani ana wizara Nyeti zaidi .Km january aliyopost picture anabarizi na mzee?CCM ipo kazi kubwa sana.
Ila usiache wafundisha jinsi ya kuibomoa hii chama chakavu.Na kuipiga marufuku kabisa. Wastaafu wote ni wa kupiga chini.Na wakileta kelele waanze tapishwa walivyouza nchi. Hakuna ujanja Tayari hata wakiomba msamaha kwa jamaa watamnanga tuu muda ukiwa tayari.
Hata Mkapa ni wa kuwekwa benchi. Kumbe Sumaye alikuwa na akili sana kuliko akili ya kinywaji kuita wa malofa?Sumaye alisimama km mwanaume na kuachana na ccm bila unafiki .Na kavumilia maumivu yake bila shida. Mkapa kaita watu malofa kumbe alikuwa hajui anafanya nini sasa nae yupo ktk syndicate...
Hana kosa, kuongea ktk simu sio kosa? Anamwita rais wake kachanganyikiwa?Ina maana na yeye anaamini rais anahitaji kuondolewa madarakati km ana shida ya akili. Hana makosa kala maharage na ugali wa masikini , katumia hela kibao wao na nape kuzungunguka nchi ktk sanaa za kupiga bao la mkono?
CCM hawan ahuo ubavu wa kiakili ndio maana kapteni anaweza kuwa mkuu wa mkoa na Brigedier akawa mkuu wa wilaya ktk huo huo mkoa na life ikaenda. Hata marais wastaafu wakiitwa kuwa mawaziri wakuu sio ajabu wakakubali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.