Search results

  1. EVANCE HENRY

    TANZIA Mwalimu Mrs. Prosscovier Luhaga afariki Dunia

    Kachingwe Kaselenge ndio KK.Kayenga au baba Vitus ni mtu mwingine kabisa.
  2. EVANCE HENRY

    Hivi kwanini Nyerere aliidhinisha kunyongwa Mwamwindi?

    Kuna mengine utokea sababu ya fundisho kwa wengine.Kipindi cha ujamaa kulikua na chuki kati ya viongozi na wananchi wenye uwezo.Kitendo cha kuuliwa RC kingeachwa bila onyo kali kingeweza kua mwanzo wa mauaji mfululizo ya viongozi.Pale ni kwamba Serikali ilionyesha mamlaka yake .
  3. EVANCE HENRY

    Kwanini waislamu maarufu wakiwa na kesi ya kujibu mahakamani hupendelea kuvaa kanzu na baragashia?

    Wala sio waislam tu ,ni asili ya mwanadamu kumrudia Mungu wake akiwa kwenye matatizo.Ata wakristu wengi uvaa rozali au kubeba biblia wakiwa mahakamani.
  4. EVANCE HENRY

    Goli alilofungwa kipa wa Simba dhidi ya Lipuli sio la kufungwa kabisa

    Bora la kufungwa Manula kuliko alilofungwa kipa wa Azam dhidi Mtibwa leo
  5. EVANCE HENRY

    Msichana wa Miaka 20 abakwa hadi kufa, Madale - Kinondoni

    Line ya Simu ya uyo Dada itawakamatisha wote Sent using Jamii Forums mobile app
  6. EVANCE HENRY

    Askari Magereza ajiua kwa risasi

    Inategemea uneweka mapigo gani? Moja moja au mfulilizo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. EVANCE HENRY

    Rasmi Ibrahim Ajib Migomba atia saini kuitumikia yanga miaka 2

    Ukimuangalia Ajib ni kama anajutia kwenda Yanga,Kashindwa ata kuongea na waandishi wa habari .Muda wote anainama chini
  8. EVANCE HENRY

    Maajabu: Kamati yataka Malinzi apitishwe bila kuwepo

    Na Kaburu pia apitishwe ,kwa nini Malinzi peke yake
  9. EVANCE HENRY

    Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

    Kwa ajili ya michezo alipata Zero form six jitegemee secondary .baada ya kutambua ugumu wa kuchanganya Shule na michezo,alijikusanyia hela za ada akajiunga Diploma CBE na kuweka kando michezo.Ni msomi mwenye bachelor
  10. EVANCE HENRY

    Hivi wanaokuwa na mke zaidi mmoja wanawezaje kuishi nao.

    Mmoja utaka umiliki zaidi na utawala,ila akijua kuna mwenzake ujitahidi asikukwaze wala kukuhudhi akiofia kuzidiwa na mwenzake.Watashindana kukurizisha
  11. EVANCE HENRY

    ARUSHA: Watu wawili wafariki kwa kuchomwa moto bila nyumba kuungua

    Kwa kuangalia mazingira ya Tukio na jinsi walivyoungua ni kwamba aliwaua kabla ya kuwachoma.Angewachoma wakiwa wazima wangekutwa mbali na Godoro katika kutapa tapa.Inawezekana aliamua kupoteza ushahidi kwa kuwachoma ili vitu kama alama za vidole viteketee .
  12. EVANCE HENRY

    Hivi wanaokuwa na mke zaidi mmoja wanawezaje kuishi nao.

    Ni rahisi kuishi na wake zaidi ya mmoja kuliko kuishi na mmoja.
  13. EVANCE HENRY

    Hii ndio sheria itakayo waumbua Simba sc Fifa

    Sio lazima kila mtu aandike,usilolijua uliza kwanza
  14. EVANCE HENRY

    Mechi za mwisho VPL,Vita ya ubingwa na kushuka daraja

    Siku zote ukiwa na upande utatoa maamuzi ya upande wako,ndio sababu kuna kukata rufaa,subiri usitetemeke
  15. EVANCE HENRY

    Hawa wachezaji bora wa tff, ni umbumbu mwingine.

    Zimbwe Jr,mchezaji pekee aliyecheza mechi zote za Simba ligi hii dk 90, ndiye mchezaji anayeongoza kwa kucheza dakika nyingi ligi hii kwa kiwango cha juu
  16. EVANCE HENRY

    Takukuru:Tunaomba mtusaidie kuichunguza mechi ya mbao na simba,

    Povu tu, Shida mnapenda Yanga kuliko mpira wenyewe
  17. EVANCE HENRY

    Je, mtu ukichepuka inamaanisha humpendi mwenzi wako?

    Sasa Mke mmegombana ,anakugomea miezi miwili ufanyeje? Ndoa ni rahisi kuishi bila mtoto ila bila kuridhishana kingono ni balaa
  18. EVANCE HENRY

    Je, mtu ukichepuka inamaanisha humpendi mwenzi wako?

    Kupenda ni tafsiri pana sana,ila unaweza ukampenda asiyekidhi haja zako za mwili.Hapo ndipo panapotokea uchepukaji.Mara nyingi wanaume au wanawake wanaochepuka uwa hawako tayari kuishi na michepuko yao.Utagundua kua yupo tayari kuishi na mpenzi wake anayempenda ila inapokuja kwenye kuridhishwa...
  19. EVANCE HENRY

    Je, mtu ukichepuka inamaanisha humpendi mwenzi wako?

    Kuna tofauti ya upendo na tendo la ndoa,kuchepuka ni kutafuta kukidhi matamanio au haja ya mwili na si upendo.I
Back
Top Bottom