Search results

  1. J

    Sabodo anaisaidia au anaiogopa chadema?

    mtu kama wewe unabolewa kwa t-shirt na kanga ya mama ako au mkeo upo hapo!
  2. J

    Chadema Washngiton DC 100%; CCM (USA-UK ) 00.0 %

    hii inaonesha mpangilio wa mawazo ktk akili yako ulivyo mbovu.
  3. J

    Ntakufaje mzima?

    Daktari mmoja alikuwa mlevi mpaka ikabidi apelekwe kwenye sektarieti ya maadili na mahojiano yalikua hivi; kiongozi:kwanini unalewa kwa kiwango hicho wakati unajua madhara ya pombe! daktari:asante sana,hivi unajua wote tutakufa sasa kwanini nife na mapafu na maini mazima?
  4. J

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    sikia rejao katika dunia hii uctishike na manguo ya mwili mzima kwani hiyo ni staili tu wangapi unaowajua mwenyewe wako hivyo lakini wanagawa sana hata mimi kidogo nipewe
  5. J

    Namuheshimu mama yangu lakini simpendi

    Aisee hii ipo sana hata kwa waha kwani baba yangu naye alidharaulika wakati mambo hayajanyoka hivi sasa wanataka ushauri kwake kama wewe ni mkiristn bibria inasema mawazo ya masikini hayasikilizwi kata kama mazuri jipe moyo ipo cku watatia heshima
  6. J

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    Mawazo ya mtu mwenye ubongo wenye njaa lazima yafikili kinjaanjaa kuwa makini sana la sivyo utapata shida kwenye dunia ya utandawazi kama hii ambapo hata shehe anaalikwa kanisani kwa heshima kubwa bila kujali dini
  7. J

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    Hivi wewe ni greater thinker au Manake unayoyachangia yanaonesha elimu huna labda ya udaku manake hayo maneno hata himam mwenye akili nzuri hawezi kusema nenda shule kasome jinsi kitambi na ngozi nzuri au mbaya zinavyopatikana
  8. J

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    mimi binafsi nimeamini kuwa upendo wa mtu hauzuiliwi na misimamo ya kidini kwani mimi ni mkristo tena mlokole lakini nampenda binti wa kiislam tena wa swala tano yeye pia ananipenda
  9. J

    KAYUMBA vs St Mkapa or Kikwete

    takwimu umezitoa wapi?
  10. J

    honey mfungwa ametoroka jela.....!!!!

    Umenigeuza mwehu manake nimecheka mpaka watu wakapunguza sauti ya tv ili wasikie nacheka nini huku chumbani
  11. J

    Kati ya Mswaki na Toilet Paper nani anafanya kazi ngumu?

    Mswaki unanipa raha zaid manake ucpopiga mswaki vipi kuhusu tabasam?
  12. J

    Kapenda nisipopenda

    Hivi nyie hamlali manaake mmeanza mjadala mwingi haya naana kuhesabu 1 2..........3 laleeeeeeeeeeni
  13. J

    JK azua mtafaruku kwenye daladala

    kama kuna watu wanaofikiria kwa kutumia makalio basi ni baadhi ya viongozi watendaji manayake maamuzi mengi wanayofanya wanayafanya kwa kutumia makalio madogo bac ningewashaur watumie dawa za mchina
  14. J

    Kapenda nisipopenda

    Dada angu ananizidi miaka mitatu naninamuamkia vipi kuhusu yeye harafu maumbile ya kike yanazeeka mapema Mnataka niishi na bibi
  15. J

    Kapenda nisipopenda

    Ananizidi miaka miaka mitatu
  16. J

    Kapenda nisipopenda

    Jamani my funs just help me kuna dem nilimtongoza kwa kumtania but alikubali yani kaniganda kama ruba pili nikagundua kama ananizidi ums
  17. J

    Spora Host: Eti Wachaga ni Wazuri kwa Kusoma Gazeti?

    Unajua kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake lakini hili jambo lakutuwekea mbele yetu usirudie tena kwa jina la Yesu
  18. J

    Tanzania vichekesho

    Usiwe zoba hivi umeona yaliyozungumzwa leo mjengoni umeona matapishi eeè.
Back
Top Bottom