Mchonganishi ni yule aliyeweka picha kwenye mtandao, kwa wasifu wa Mo picha hiyo ni lazima ingezua maswali, kama tafrija imefanyika nyumbani kwake haina shida ni picha nzuri na mambo binafsi, lakini kama ni sehemu ya kazi picha imekaa vibaya na haipendezi.
Mbona makanisa yanayochomwa ni mapya kwa asili ya mkoa wa kagera hayachomwi makanisa makongwe ya Catholic na Lutheran.
Tusubiri taarifa tusikimbilie majibu mepesi kwamba waliofanya hivyo ni waislamu, wachunguzwe wao kwanza inawezekana ndani ya makanisa yao kuna tatizo. Tukio hilo sio la...
Nadhani wewe ndiye mwenye haraka kilichokua kikisomwa ni taarifa na vielelezo vimeambatanishwa tusubiri mjadala then unaweza ukaupima uzito na pumba za PAC au tuombe ripoti nzima na vielelezo vyake viwekwe hapa tusome wenyewe.
I]"Katika ziara hizo wakati mwingine amekuwa anatumia njia za usafiri zinazoogopesha, amewahi kutumia meli ya MV Songea kutoka mkoani Ruvuma hadi Mbeya, amepanda milima na mabonde kwa magari katika maeneo ambayo ni hatari, lakini lengo likiwa ni kuhakikisha anawafikia wanachama wa ngazi za...
Tangu uwepo wa yanga ni zaidi ya 60 kati ya hiyo maji ameongoza miaka 4 mbona unayoyasema ni makubwa kuliko umri wake wa uongozi ndani ya Yanga? kama Huna habari ameishatutangazia mkutano mkuu wa uchaguzi may 2014 na yeye hagombei tena, ni wasaa wa kuanza kutafuta nani atajenga yanga baada yake...
hao waliotenda, walioshiriki,waliosaidia, na waliozemebea wote mzala ga nyaja hawastahili kuendelea kuwa askari wa jeshi la polisi, asp bendarugaho aliyeshindwa kupeleleza kesi wa kazi gani jeshini? Huyo insp jamal anayelinda askari wanaobambikia watu kesi anatafuta nini jeshini? Sp giro yeye...
1. Miradi hiyo ni upimaji wa viwanja 5,000 unaodaiwa mkopo wake wa sh bilioni 2.9 kutoka Mfuko wa Dhama ya Uwekezaji (UTT) haukufuata taratibu, na wananchi hawakushirikishwa ipasavyo.
2. Anatuhumiwa pia kukopa sh milioni 200 kutoka Benki ya Uwekezaji (TIB) bila kibali cha Baraza la Madiwani.
3...
Kamanda faustine shilogile acp rpc moro polisi walilusha mabomu ya machozi na kufyatua risasi hewani huyo ponda alikuwa amezingirwa na wananchi walimbeba wakampeleka hospitali ya mkoa wakamchukua kabla ya kupata huduma wala kuorodheshwa kwenye daftari la wagonjwa na kumpeleka kusikojulikana hata...
mzee hiyo kampuni imesajiriwa wapi au ni ya mfukoni iko wapi na mtaa gani?
Fedha ya kubadilisha mfumo wa moderm na kuwa universal ni sh ngapi?
Kwa nini na lazimika kuwa member wa jf na user id ya siku nyingi je kama ni member mpya haifanyi kazi?
Kama ni biashara ya kampuni inyoaminika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.