Search results

  1. Money Stunna

    Russian airlines ordered to stop selling tickets to Russian men aged 18 to 65

    Russian airlines ordered to stop selling tickets to Russian men aged 18 to 65 After Putin announced he would mobilize 300,000 more troops and consider nuclear weaponry against Ukraine, Russians have started scrambling to book flights out of the country. And with limited availability, passengers...
  2. Money Stunna

    Kampuni ya IPTL haijawatambua SCBHK kama wadai wake na inahoji mahakamani uhalali wa madai yao

    Hivi mtu akishindwa kulipa anadaiwa mdhamini aliyedhamini au mwenye deni?
  3. Money Stunna

    Kauli za kuwa Marekani kuna maisha magumu!

    Ndio unaweza,ukija usikose kuja Washington DC
  4. Money Stunna

    Mchumba wangu anaitana wifi na dada wa mzazi mwenzie. Hii imekaaje?

    Habari wakuu, Kuna jambo linanitatiza. Mfano una mchumba mwenye mtoto lakini pia bado anaitana wifi na dada wa x zake kila muda wanaitana wifi hii imekaaje?
  5. Money Stunna

    Mahusiano na maisha ya Ughaibuni

    Hiyo ni kweli chid support ni lazima pale unapoachana na mke au mpenzi hiyo ndio ilimkimbiza le mutuz akirudi akifika airport lazima apokokelewe na pingu moja kwa moja jela
  6. Money Stunna

    Diane Rwigara akiuawa basi UN imkamate Kagame haraka sana

    Ata kampeni za urais jamaa alitaka zioneshwe za kwake tu.Jamaa alipiga kampeni pekeyake wengine ata huwezi kuwasikia
  7. Money Stunna

    Dar ni ya pili kwa watu waoga zaidi Africa

    JIJI LA DAR NI LA PILI KUWA NA WATU WAOGA ZAIDI AFRIKA ========================================= Mtandao wa citypages.com umelitaja jiji la Dar es Salaam kama jiji la pili kwa watu waoga zaidi Afrika (Cities with the most coward people in Africa). Utafiti uliofanywa na mtandao huo unaonesha...
  8. Money Stunna

    South Africa msije Sio kuzuri

    Kama hauna nauli unataka kurudi nipm sitokutumia pesa nitakutumia nitakununulia ticket
  9. Money Stunna

    Korea Kaskazini yajipanga kurusha makombora karibu na kisiwa cha Marekani

    Endelea kujidanganya hivyo hivyo hauijui Marekani na bila shaka unaisikia tu umu JF
  10. Money Stunna

    Korea Kaskazini yajipanga kurusha makombora karibu na kisiwa cha Marekani

    Lile Atomic la 1945 limeboreshwa zaidi ya mara 5000.mapanki akijaribu tu atapotea kwenye uso wa Dunia
  11. Money Stunna

    Msanii Linah afunguka ashawahi kutoa mimba mara mbili

    Hivi Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kutoa mimba
  12. Money Stunna

    Tetesi: Dr.Slaa Katibu Mkuu ajae CCM?

    Slaa aliomba ukimbizi Canada akija tena hatapoteza kibali cha ukimbizi
  13. Money Stunna

    Rais Magufuli: Nafuu njaa ikuue kuliko nikuletee chakula

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu bora akwambie ukweli kuliko hakudanganye atakupa msosi na hasikupe
  14. Money Stunna

    Je ni sahihi kumwambia mpenzi wako mshahara unaopata

    Kama mshahara mdogo sana jiandae kisaikoloji kuachwa kama mkubwa jiandae mizinga usimwambie labda kama ni mke hapo mwambie
  15. Money Stunna

    Mkuu wa Mkoa wa Dar alienda kama nani mkoani Tanga?

    Dar linapita sehemu gani?
  16. Money Stunna

    Kama umewapatanisha Ruge na Makonda, Nape naye aombwe radhi na kurudishwa kazini

    Je ni nani aliyemtuma makonda kuandaa kipindi cha uongo ili kumdhalikisha Gwajima?
  17. Money Stunna

    Mfanyakazi wa kike aliniharibia kazi. Nimfanye nini?

    Mkuu uko state gani? Kama uko Washington DC,Virginia au Maryland tutafutane
Back
Top Bottom