Search results

  1. S

    Mgomo TIcts watikisa

    Ni kweli hapo makampuni haya tuliyoyabinafsisha yanamatatizo makubwa sana. Nyie wazungu wanaunyanyasaji wa hali ya juu. Inabidi serikali iwasaidie lakini serikali gani inaweza kuwasaidia hawa watu????
  2. S

    Mgomo TIcts watikisa

    Hivi hapo TICTS kuna nini? Mbona mara kwa mara wanagoma? Halafu nasikia Karamagi na wenzake ndoa wanataka kuchukua hizo hisa zao. Nchi yetu hii jamani. Wafanayakazi wa TICTS msikubali haki yenu iondoke hivi hivi na natamani kwenye mashirika mengine wangekuwa na umoja kama wenu, watu...
  3. S

    Blog nzuri

    Wana JF, nimeleta topic mpya kabisa japo ni nje ya topic hii ni kwa sababu wengi tulioughaibuni tunatafuta vimwana na wakaka wa kuoa/kuolwa nao. Kuna hii blog nimetumiwa na rafiki yangu unaweza tuma maelezo yako hata na picha. Pia utakutana na wenzako wahitaji kama wewe. Jitafutie Rafiki /...
Back
Top Bottom