Search results

  1. B

    Plots for sale at Bagamoyo

    Viwanja 2 vinauzwa viko bagamoyo kimarang'ombe, vyote vina hati bei sh 6,000,000 kila kimoja, piga 0715-744767.
  2. B

    Mbwa wanauzwa

    Bei ni Tsh 300,000 kwa puppy. Hawa ni wa mapambo tu sio ulinzi
  3. B

    Mbwa wanauzwa

    Mbwa wanauzwa aina ni Maltese, wana wiki 9. Tayariwameshapata chanjo ya kwanza.
  4. B

    Puppies 4 sale MALTESE

    Puppies wa Maltese 8 weeks wanauzwa, wameshapata chonjo wa kwanza. Bei ni Tsh 300,000. 0715744767
  5. B

    Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

    Nasikia kufuga kware ni mpaka upate kibali cha maliasili. Watu wanafuga tu lakini siku wakikuotea inakula kwako. Anayefahamu utaratibu wa kupata kibali atujuze.
  6. B

    puppies maltese wanauzwa

    Puppies aina ya maltese wanauzwa 300000 wana wiki 7.
  7. B

    puppies maltese wanauzwa

    Sorry nimekosea jukwaa tafadhali.
  8. B

    puppies maltese wanauzwa

    Puppies aina ya maltese wanauzwa bei shilingi 300000 wana wiki 7.
  9. B

    Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

    Asante kwa ushauri wako millions movement. Niko Dar na mtaji ni sh. 20m pesa ya frem ni tofauti. Nataka kuweka vifaa mchanganyiko vya ujenzi. Ushauri kuhusu eneo p/s na usimamizi nitakuwa mwenyewe.
  10. B

    Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

    Nataka kufungua biashara ya duka la vifaa vya ujenzi naomba ushauri ni mtaji wa kiasi gani ni nzuri kuanzia na eneo gani ni zuri kibiashara.
  11. B

    MwanaFA na GF wake

    Duh kama 3D glasses.
  12. B

    Kifo cha CCM kimetimia

    Wapinzani na wananchi kwa ujumla wamekuwa wanasema na kutoa tahadhari ya mambo mbalimbali serikali haisikilizi mambo yakiharibika wanadai tusilaumiane na tusikitike. Kuhusu mihadhara na cd za uchochezi zimelalamikiwa muda mrefu sana, sasa majibu yameanza kutokea wanadai siyo wakati wa...
  13. B

    Kufuga mbwa

    Kupata taarifa za mbwa we google tu hao wote wanakupa taarifa hafifu sana, kwa mfano mtu anakwambia mbwa anakula mara moja tu kwa siku. Mbwa mkubwa ndio anakula mara moja lakini puppy wanakula zaidi ya mara 1 kutegemea na umri wake. Polisi nao hawana mbwa wazuri watakuongopea tu kuwa huyu german...
  14. B

    Ufugaji wa sungura na njiwa wenye tija

    Mama timmy hawa njiwa wanapatikana ilala mtaa wa Lindi, kuna jamaa ana banda barabarani anawauza.
  15. B

    Walemavu.. Mnyonge mnyongeni.. Mengi apewe haki zake..

    Wanyewe wanakula wanacheza wanafurahi wanajiona wako sawa, wewe unayelalamika ndio unaowanyanyapaaa unawaona vituko halafu unalalamika, mijitu mingine bana mibinafsi.
  16. B

    Natafuta rott puppy

    Natafuta puppy jike wa wiki 8 wa rottweiler. Wazazi wake wawepo.
  17. B

    Kwa wale watoto wa jiji Dar

    kipawa
  18. B

    Napendekeza nishani kwa wafanyabiashara

    Napendekeza idara ya TRA ingekuwa inatoa nishani kwa wafanyabiashara ambao wamefanikiwa kukua kwa viwango ambavyo wataviweka wao. Iwe wafanyabiashara wakubwa, wakati na wadogo. Wahojiwe waweze kueleza mbinu walizotumia kukua ili kuhamasisha kwanza ulipaji kodi pili kuhamasisha wafanyabiashara...
  19. B

    Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    Ndugu yangu Zitto usivunjike moyo. Umekiri wewe mwenyewe kuwa kazi hiyo siyo nyepesi kwahiyo hata hao wanaokuvunja moyo yawezekana ndio washiriki Au wanafaidika na huo wizi, we kaza buti achana nao.
  20. B

    Mtaji wa kuanzisha bureau de change

    Naulizia mtaji wa kuanzisha bureau de change. Na tararibu za kufuata zikoje?
Back
Top Bottom