Mafuriko hayakuwa ni malengo ya mradi.... Lakini nisehemu ya matokeo ambayo hayakutarajiwa.... Au kinga haikutiliwa mkazo..... Lakini changamoto hiyo haiondoi umuhimu wa mradi....
Mradi mkubwa kama huo haiwezekani ufanyike bila EIA..... Final report huwa na mapendekezo mbalimbali. Ambapo katika situation kama hiyo Evacuation, Dredging construction of Dykes etc as a way forward.....
Na hao wazungu wanaowazungumzia hata siku moja hawatapenda kuona tunajitosheleza/tunajitegemea. Wanataka kuona tunaishi maisha ya ombaomba. Ndio hao sasa wanatuletea mambo ya kipuuzi kama LGBTQ.
Lakini faida ya mradi ni kubwa kuliko changamoto mnayo iona.... Kuhamisha watu 1000 huwezi linganisha na faida ya mradi. Kwasasa maendeleo ya nchi yanategemea sana uwepo wa nishati ya uhakika. Tupunguze malalamiko bali tuwe sehemu ya kutafuta suluhu ya changamoto....
Ni hao hao kukiwa na mgao wa umeme wanapiga kelele kama injini mbovu.... Akili wamezikalia..... Hawajawahi toa njia za kukabiliana na kutatua changamoto... Wao ni malalamiko tu....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.