Search results

  1. T

    Kibaha: CHADEMA yaporomoshewa matusi ya nguoni, mpango wa utekelezaji wa ilani wawekwa pembeni...

    Mwigulu kasoma. First Class! Lakini hajaelimika. Ana tofauti gani na Mbunge wa Mtera? Hapo JK na Mangula wanaona ufahari. Shame on you!
  2. T

    Wakati cdm ikipiga porojo, ccm inafanya haya

    Hii thread siyo mahali pake. Hata hivyo napenda kumjulisha Mujumba kuwa kazi hizi zilitakiwa zifanyike miaka 40 iliyopita. Ni aibu kwa nchi huru kwa miaka 51 yenye rasilimali za kutosha kukosa barabara kwa miaka yote hiyo. Pia Mujumba uelewe kuwa kazi ya serikali iliyoko madarakani ni kubwa...
  3. T

    CCM yatoa tamko juu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

    Nape Nnauye, Huhitaji kuwa japo na certificate ya Nursery School kujua kuwa mauaji yanafanywa na polisi kwa vile ni wababe, Wana silaha, wana itikadi ya chama cha mapinduzi, wana chama kinachowatuma ili kufifisha kampeni za kumkomboa Mtanzania nk. Lakini ndugu yangu mpendwa, usidhani kumwagia...
  4. T

    Naombeeni ushauri wa kikazi.

    Ongeza kipato kwa kufanya kazi za mtandaoni. Fuatilia link hii ReferralTask.com Earn Money by inviting - 1$ per referral link visit
  5. T

    Blandina Nyoni ana siri nzito za vigogo Mafisadi, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma Tanzania

    Hakika mama amechafuka. Lakini kuchafuliwa kwake kusitafutiwe mchawi! Yeye mwenyewe alikuwa fisadi ndo maana hakuthubutu kusema haya wakati huo. Kama angekuwa msafi na mzalendo, haya anayosema leo angesema miaka kumi au zaidi iliyopita, hivyo angekuwa amesaidia kulinda rasilimali za taifa...
  6. T

    Bungeni: Muswada wa Katiba Unajadiliwa!

    Akishukuriwa au asishukuriwe, yeye kafanya kazi tuliyomtuma. Keep it up!
  7. T

    Makinda: Waandishi wa habari wanapotosha suala la Posho

    Wabunge wakiwa Dodoma wanalipwa Per diem! Hii ndiyo stahili halali ya kufanya kazi yao waliyoajiriwa nje ya vituo vyao vya kazi. Hii posho ya kukaa (Sitting allowance) ni kwa ajili ya kazi gani nyingine zaidi ya waliyotumwa na kulipwa per diem? Mimi ni mtumishi wa serikali hiyo hiyo, nikitumwa...
Back
Top Bottom