Search results

  1. LACHERO

    Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Ukimpata Fundi Mudi utafurahia sana maisha, yani kuipata 140 ni kugusa tu..
  2. LACHERO

    Car4Sale ISUZU Bighorn inatupwa!

    Bro ni kwamva hujapata fundi wake, gari matata sana hii. Ninayo moja na ninaenjy..
  3. LACHERO

    Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Mungu ni mwema mzigo uewasili salama, nimeenda kurudi mkoani, kwa ufupi niseme ni hatare.
  4. LACHERO

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Isuzu Big Horn

    https://www.fwi.co.uk/machinery/4x4s/isuzu-trooper-travels-20-times-around-globe Mzee Magu rip alisema watanzania tunatishsna Sana, mtu kazunguka dunia nzima 20 times alichobadili ni clutch Tu soma hapo juu.
  5. LACHERO

    Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Isuzu Big Horn

    Nishaagiza sasa chombo iko kwenye maji, ntatudii kuwapa marejesho[emoji23]
  6. LACHERO

    Kuondoka kwa mabalozi USA na UK ndani ya muda mfupi kunani nyuma ya pazia?

    Muda wao umeisha, kwa mfano Sarah alishatumikia miaka yske 3, akaongeza na mmoja. Itoshe tu kusema muda wao umeisha, unaswali jingine?
  7. LACHERO

    Mwanafunzi wa UDSM akamatwa kwa kusambaza taarifa na Takwimu za uongo za Covid-19 WhatsApp

    Waziri mwenyewe kasema za ukweli tutaanza kuzipata kuanzia juma tatu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. LACHERO

    Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

    Pia wengi humu mnamjua Kabendera Kama mwandishi wa habari na sio consultant.
  9. LACHERO

    Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

    Mimi nafahamu organization ambazo Kabendera anafanya nazo kazi, kwa taarifa tu ni kuwa he hardly present tra receipts.
  10. LACHERO

    Waziri Lukuvi awasimamisha maafisa ardhi 183 kupisha uchunguzi

    Wacha kumchongea classmate want[emoji16][emoji16]
  11. LACHERO

    Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    We Taanesco jibu basi hii hoja Kwanza, Hilo la kutaka kujua namba za simu sijui Kijiji achana nalo Kwanza.
  12. LACHERO

    Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!

    Safii mkuu naona wewe la kina Nape halikuhusu umejikita kwenye kututaarifu hili la msingi, kama itakua hivyo Basi mororo.
  13. LACHERO

    Waliguswa wafanyakazi wakaa kimya wakaja wanasiasa wakaa kimya, wafanyabiashara wakawa kimyaa. Sasa zamu yao viongozi wa dini.

    Tuache ushabiki usio na maana kwani kuzuiwa kupiga makelele ni kushughulikiwa, hivi mnajua ni kero kiasi gani kwa majirani na wale wasio amini hicho unachokihubiri, jamani najua wengi mmeshawahi kuingia makanisa ya roman, kwani wao hawana PA system? Zipo ila wanajaribu kuhakikisha sauti haitoki...
  14. LACHERO

    Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

    Too bad japo naona umeegemea zaidi kuelezea wasifu wa Membe na sio aliyetekwa.
  15. LACHERO

    Hii ajali imewashangaza wengi

    Nashindwa kuifungua..
  16. LACHERO

    Radio yangu Sonny Home Theatre inaandika ‘Push power/protector’

    Nilikuwa na shida Kama yako, kwa ufupi unatakiwa kuipeleka kwa dealers wa Sony pale karibu na jengo la ushirika watakusaidia.
  17. LACHERO

    Membe: Huwezi kuwa mkristo zaidi ya warumi (kachero mbobezi anamaanisaha nini ktk kijembe hiki?)

    Hivi hi ya kusema "kachero mbobezi" inatusaidia Nini hasa.
  18. LACHERO

    Membe jiandae kisaikolojia

    Kama umechukua point za Musiba vile..
Back
Top Bottom