Search results

  1. sterling

    IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    sijui kwanini wanamuogopa mheshimiwa Raisi...?
  2. sterling

    Sifa za husband material hizi hapa

    Ni ngumu kumpata mwanamme kama huyu. Ukiwa unamtafuta mwanamme kama huyu basi ni sawa na kujenga magorofa hewani
  3. sterling

    Kimenuka: Ukawa hali si shwari

    Sina hakika kama naelewa kinachoendelea hapa
  4. sterling

    Ningekuwa mpiga kura, ningempigia kura Nanyaro BAVICHA

    Sipingi hoja iliyowekwa hapa. Ila tukumbuke pia kuwa Nanyaro si malaika na pia kati ya wagombea wengine wapo pia wenye uwezo ila hawajapata ground ya kuonyesha uwezo wake.. kimsingi aombwe Mungu achaguliwe kiongozi atakayeweza kubeba vision ya bavicha..
  5. sterling

    Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    Hoja ya zitto ina mashiko kwa kiasi flani.. kuna wakati ni bora ukabaki neutral
  6. sterling

    Nnape Nnauye: CCM imebariki mchakato wa katiba mpya uendelee

    Ccm wana mamlaka gani mpaka waweze kuwa na uwezo wa kubariki mchakato?
  7. sterling

    Kamati ya uongozi bunge la katiba lakutana kujadili kamati kuu ya CCM na sura za nyongeza

    Ccm wanataka kutupeleka pabaya... sidhani kama huu mfumo wa kuingilia maswala nyeti ya nchi ya tija kwetu wananchi.. waachie mfumo uliowrkwa ufanye kazi peke yake....
  8. sterling

    Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)

    Naamini Tanzania tuna uwezo mkubwa sana tu..
  9. sterling

    Download JamiiForums Wallpapers for PC

    kuwa na wallpaper hii ni dhambi kubwa sana
  10. sterling

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Mungu awape faraja familia na watanzania wote kwani tummpoteza mtu wa muhimu hasa katika wakati wa mchakato wa mabadiliko ya katiba
  11. sterling

    Siipendi CHADEMA

    Kiongozi sina hakika kama ulikuwa sawa wakati unaandika hoja yao... ila kama umeandika ili uonekana umepost ni sawa...
  12. sterling

    Hongereni wananchi wa Singida Mashariki, kwa kutuletea mbunge wa taifa

    Hakika, tunahitaji wazalendo wengi kama hawa ili kuibadilisha nchii hii... Wapo wanaowaza kama akina serukamba so watapiga kuwa Lissu si Jembe ili msijali maana ukombozi unakuja kupitia watu kma hawa..............
  13. sterling

    CHADEMA hawaelewi kabisa jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa, wanaiweka kapu moja na vyama vya siasa

    Kwa mawazo yangu ya haraka haraka si kweli kuwa amani ya ndani ya Tanzania aimetokana na umakini ama sera nzuri ya ulinzi na usalma.. Amani imtokanana kwanza na uoga wa Watanzania na hulka yetu ya kutokupenda vurugu... Pili si dhambi kusema kuwa huna imani na chombo flani,,, kimsingi hata kama...
  14. sterling

    Mawalla Advocates yaijibu Jamii Forums

    ishu ya WMA inawezekana ina ukweli,,, ila ninasikia kuna maeneo fulani ya vijiji vya NATTA na MOTUKERI watu wengine wamelia mpaka kuzimia kwa ajili ya jamaa.. wanadai amewasaidia sana na walikuwa wakipata misaada mingi hadi kusomeshewa watoto wao na Mawalla
Back
Top Bottom