Search results

  1. M

    Masters za Tanzania zinambadilisha mtu?

    Shida kubwa tunayokumbana nayo huku mtaani ni uelewa wa jamii jinsi ya kutumia hizi masters. Namaanisha "siasa ni nyingi kuliko utaalam". Siasa inaamua kila kitu. Specialization za medical pamoja na kuwa very practical zinaonekana bora zaidi kwa sababu siasa haina nguvu huko
  2. M

    Masters za Tanzania zinambadilisha mtu?

    Watanzania wengi wana tabia hii. Utakuta diploma holder anasema degree holder hawajui kitu kiutendaji. This is very bad. Na hali hii pia inawafanya watu wasiheshimu taaluma za watu. Na wakati mwingine inadhaniwa kuwa kazi fulani inaweza kufanywa na mtu yoyote
  3. M

    Masters za Tanzania zinambadilisha mtu?

    Nakushauri ufanye masters degree kwanza..... Sidhani kama ni sahihi darasa la saba kuwachambua wahitimu wa kidato cha nne. Huo ni ujuaji usio na sababu
  4. M

    Hongera kwa hili Rais Magufuli

    Lazima tuisifu serikali yetu kwa mambo mazuri. Binafsi wiki hii namsifu Rais kwa mambo mawili:- 1. Kuzuia usafirishaji wa mchanga wenye madini (nilitamani iwe hivyo) 2. Kupunguza riba ya mikopo BoT kutoka 16% hadi 12%. Nadhani Benk ndogo nazo zitashusha riba (nilitamani iwe hivyo). 3. SASA...
  5. M

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Tatizo lako UNAUMWA SIASA. Usidhani ni vizuri kukejeri watu wanaolia, ambao wanaishi kwa jasho lao....
  6. M

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Nadhani nchi yetu inaumwa siasa.
  7. M

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Naamini watumishi wa umma wakipewa stahiki zao, tutafanikiwa :- 1. Kupunguza wizi ktk mkutadha wa rasilimali na muda 2. Rushwa 3. Kuboresha huduma kwa umma. 4. Kuinua ari ya kufanya kazi 5. Kukuza uzalendo 6. Kuondoa matabaka ya watawala na watumishi
  8. M

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Makato hayo yakiongezeka kutoka 8% kuwa 15%, tayari mtumishi ana makato mingine. MFANO MTUMISHI MWENYE TGHSD Basic Salary = 1215000 Net pay amount (kiasi anacholipwa baada ya makato yote) = 356859 MAKATO KAMA IFUATAVYO 1. Income tax (PAYE) 17.89...%=217440 2.HELB (Mkopo wa elimu) 15%=182250...
  9. M

    Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Umesoma mpaka darasa la ngapi na unafanya kazi wapi? Uelewa wako ktk jambo hili ni mdogo kama punje ya ulezi
  10. M

    Valentines's Day: Asili na historia yake hadi kusisimua Ulimwengu

    Kabla hata ya VALENTINO Roma ya kipagani tayari ilikuwa inaadhimisha sherehe za miungu (LUPERCALIA) za kila February ya kila mwaka. Hata baada ya Mfalme Constantine kuanzisha RC miaka ile ya 300 AD mapokeo hayo yaliingia kanisani. Ref - "The decline and fall of the Roman Empire by Edward...
  11. M

    Valentines's Day: Asili na historia yake hadi kusisimua Ulimwengu

    Maada bado haijaegemea upande wa kupinga ama kuhalalisha.
  12. M

    Valentines's Day: Asili na historia yake hadi kusisimua Ulimwengu

    Kama ndiyo tete kwa facts na kama siyo weka sababu pia
  13. M

    Salary scale ya PGS 13 - 14

    Vipi kuhusu PMGSS 13-14 ni kama shilingi za kitanzania ngapi?
Back
Top Bottom