Search results

  1. W

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Kulikoni Gwajima na Matusi ya nguoni kwa Pengo? Hivi karibuni Mchungaji Gwajima amemvurumishia matusi ya nguoni askofu Pengo kutokana na kutoa msimamo wake binafsi kuhusu kupiga kura ya Hapana kwa Katiba iliyopendekezwa Hii inamaana gani, Je ni kuwa ushirikiano kati ya Makanisa dhidi ya Uislam...
  2. W

    Mama na familia wazikwa hai na bomobomoa ya Madale

    Mwanaharakati kweli uko huru lakini sio uhuru wa kutudanganya watu wazima, sisi wakazi wa huku hatuna habari hiyo. MZUSHI MKUBWA
  3. W

    Tuliozaliwa MPANDA leo tutasema kwetu ni wapi?

    Naomba kama kuna mwenye busara anifahamishe kwetu ni wapi? Kwa wale waliozaliwa MPANDA miaka ya sabini kurudi nyuma wamezaliwa mkoa wa TABORA wilaya ya MPANDA. Kwa wale waliozaliwa MPANDA miaka ya sabini mwishoni kuja mpaka mwaka ya 2011 mwishoni wao wamezaliwa mkoa wa RUKWA wilaya ya MPANDA...
  4. W

    Mpanda yetu iko wapi?

    Naomba tuwekane sawa kwa hili Kwa wale waliozaliwa MPANDA ya miaka ya sabini kurudi nyuma watakubaliana na mimi kuwa walikuwa wamezaliwa mkoa wa TABORA (waangalie vyeti vyao vya kuzaliwa) na kwa wale waliozaliwa miaka ya mwisho ya sabini kwenda mbele mpaka mwanzoni mwa 2011 wote waliozaliwa...
  5. W

    Temeke na athari za madawa ya kulevya

    Nafikiri wewe huijui Dar kabisa, labda umehamia Dar ulipokuja kusoma ukanogewa na kusahau kwenu "SITIMBI" kwa mwenyekujua Dar huwezi kusema Temeke inaongoza kwa madawa ya kulevya kuliko Ilala na Kinondoni, fanya utafiti utaona
  6. W

    Kikao gani kiliamua Nyerere awe 'Baba wa Taifa'?

    Ndugu yangu BORNVILLA naomba mambo mengine kabla hujayatoa JAMVINI hebu jaribu kuuliza watu pembeni maana maswali kama haya YANAKUDHALILISHA na kuonyesha kuwa ni MTUPU KICHWANI Hivi unajua ni kwa vipi mtu anaitwa BABA WA TAIFA? or FOUNDING FATHER OF THE NATION? ungeuliza kwanza wajinga wenzio...
  7. W

    Sheikh Ponda yuko sahihi

    Mnaobeza haya Maneno inaonyesha hata uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo au pengine hamkutani na wageni wanaotoka nchi za kigeni kwa sababu wao siku zote huulizia maswali kama, KUNA DINI NGAPI, DINI ZIPI NI KUBWA NA PIA IDADI YA WAUMINI WA HIZO DINI wanatengeza idadi ya watu wa nchi hii TAZAMENI...
  8. W

    Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar

    Kwa kazi ya kukusanya takataka hajashuka ninaamini atapanda zaidi ya alivyokuwa Waziri, kwanza Headache tupu
  9. W

    Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

    Kukikomboa chama HAPANA ila nakubaliana na wewe kuwa hakuna ufisadi mwingine anaotuhumiwa LOWASA zaidi ya RICHMOND na pia huyu jamaa ni MCHAPAKAZI wa kweli, angalia shule za kata zilivyokuwa nyingi na amaewaachia jamaa kuzalisha wakimu wa kutosha ila WANACHEMSHA Anaejiita mtoto wa MKULIMA hana...
  10. W

    Wema sepetu inatosha !

    mwanaidi wacha kutuzingua nyie ndio mnaorukia mambo bila kufuatilia hiyo iliandikwa kabisa kwamba wanatengeneza cinema sasa unatuletea ujinga gani hapa? Utairukia mb.. Upate mimba usioitarajia
  11. W

    Abas Mtemvu mbunge aliyesahau majukumu yake kwa wana Temeke...

    Mtamouna vipi nae hakai TEMEKE, Nenda kwake MASAKI utamuona, nyie si mlimchagua kufuata HISTORIA sasa mnalalamika nini, HAO NDIO CCM imekula kwenu
  12. W

    Kikwete alikataa wimbo teule wa EAC kwa kudai ni wa "kikristo mno"

    Inaonyesha wachangiaji wengi wamechangia bila hata kuusikia wimbo wenyewe ila tu kwakuwa wamesign in na kukuta thread hii (Kwa kifupi WAMEKURUPUKA) Ukweli ni kwamba bila hata kujua nani ameukataa, endapo ukiusikiliza wimbo wenyewe bila kuwa na upande wowote ule ukajaribu kuutafutia CLASS/GROUP...
  13. W

    Kikwete alikataa wimbo teule wa EAC kwa kudai ni wa "kikristo mno"

    Inaonyesha wachangiaji wengi wamechangia bila hata kuusikia wimbo wenyewe ila tu kwakuwa wamesign in na kukuta thread hii (Kwa kifupi WAMEKURUPUKA) Ukweli ni kwamba bila hata kujua nani ameukataa, endapo ukiusikiliza wimbo wenyewe bila kuwa na upande wowote ule ukajaribu kuutafutia CLASS/GROUP...
  14. W

    Ya ITV & RFA NA TANGAZO LA KULAZIMISHA NGONO...

    Tangazo lile linakera hata ukiwa na Mkeo iweje ukiwa na Familia nzima?
  15. W

    Waunguja wawabagua Wapemba

    WALIOANDIKA SIO WAZANZIBAR, naona Wameanza Siasa chafu kama walivyozusha mambo ya UDINI wakati wa Uchaguzi wa 2010
  16. W

    Nape awapasua vichwa CHADEMA

    Chiume kwani Magazeti yanayomuandika ni ya CDM? kama ni umaarufu yanayompa ni MAGAZETI na sijui umetoa wapi hayo maneno kuwa anawaumiza vichwa CDM kwani umemsikia kiongozi yeyote wa CDM akimjibu Nape? TAFADHALI usituletee mawazo yako yasiyo na Mashiko Jamvini humu tunajadili HOJA zenye mashiko...
  17. W

    Ndege iliyokuwa na ujumbe toka Ivory Coast yazuiwa kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA)

    Hakuna cha AJABU hapo mkuu kwani misafara kama hii ya viongozi wa juu ndio inayotumika kusafirisha MEGENDO na hata MADAWA ya kulevya Usimseme vibaya anafanya kazi yake
  18. W

    Gharika CCM: Viongozi na wanachama 1,005 wahamia CHADEMA Kagera

    Inanifurahisha sana kuona huyu mheshimiwa KIWETE akiwa kimya kwa mambo ya msingi ya kuijenga nchi yetu na pia kutofanya bidii yoyote ya kuhakikisha wale wanyonge waliokuwa wakiiona CCM kama mkombozi hawaondoki kwenye chama na wanaendelea na imani ileile Sasa kwa nyinyi ambao mko nae (KIWETE)...
  19. W

    Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

    Huo ni Mwanzo wa Mwisho wa CCM tunawasubiri Wabunge na Mawaziri
  20. W

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    Thread kama hizi zenye tuhuma zisizoweza kuthibishwa zinatuharibia jamvi letu, Dr. Dau si mjinga wa kiasi hicho napia hana mamlaka yoyote ya kuingilia ugawaji huo wa viwanja tutolee matatizo yako ya udini hapa huna hoja
Back
Top Bottom