Search results

  1. miss msemakweli

    Natafuta kazi za ndani

    hawa wsichana waliomaliza form four ni wasumbufu sana mimi nilishawahi kuwa nao yaani wanajifanya wanajua kila kitu ukiwaelekeza wanajiona wajuaji sana, kutwa wallikua wanashinda kwenye TV, computer mara oh nikasome sijui nini shida tupu. mi niko tayari kukulipa hiyo hela ila shida niliyoipata...
  2. miss msemakweli

    Wapi lilipo baraza la maaskofu?

    ushidwe na ulegee katika jina la Yesu!
  3. miss msemakweli

    Wapi lilipo baraza la maaskofu?

    msaada jamani nielekezeni wapi lilipo baraza la maaskofu kurasini. mimi natokea Sanza vatikani. nipande magari ya wapi na nishukie wapi? maana naenda kwenye interwiew j3
  4. miss msemakweli

    Wapi lilipo baraza la maaskofu?

    msaada jamani naomba mnielekeze jinsi ya kufika baraza la maaskofu kurasini. mimi natokea Sanza vatikani. nipande magari ya wapi na nishuke kituo gani? maana naenda kwanye interview j3
  5. miss msemakweli

    Msaaada wa mawazo ndungu zangu.

    nenda tu ila usiwape hela wala vyeti vyako orginal maana matapeli wengi
  6. miss msemakweli

    Fundi ALMINIUM

    dirisha la alminium la futi 5 unatengeneza kwa sh ngapi?
  7. miss msemakweli

    msichana anatafuta kazi za nyumbani

    sifanyi biashara yoyote.just namsaidia huyu dada kwani anashida hiyo. pia awe anapewa nauli sh 600 kila siku. sio kama anamume ni uamuzi wake na kutokana na umri wake si vyema afanye kazi na kulala kwa mwajili yeye ndio mtazamo wake. j2 anaenda kanisani. ameokoka, so anahitaji muda wa kumwabudu...
  8. miss msemakweli

    msichana anatafuta kazi za nyumbani

    msaada jamani kuna msicha ana umri wa miaka 25. elimu darasa la saba. anatafuta kazi za nyumbani (housegirl) . ila isiwe kazi ya kulala kwa mwajiri ni yakwenda asubuhi na kurudi jioni. kuanzia j3 hadi j. mosi. mshahara kuanzia sh 80,000 maelewano yapo. atakayekuwa anamuhitaji awasiliane na mimi...
  9. miss msemakweli

    Msichana wa kazi (housegirl)

    piga no 0715404790 huyu kaka anao houg. from Tanga
  10. miss msemakweli

    hivi zile nafasi utumishi walitanga mwaka jana zimeishia wapi?

    habari za kuaminika ni bado hawajaita kwani serikali haikuwa na fungu wakati ule so walizipotezea.
Back
Top Bottom