Ndugu wana JF,
Wengi wetu nadhani mnafahamu kuwa Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Cleopa Msuya ni mgonjwa hadi Mkulu alienda kumjulia hali majuzi.
Habari nilizozipata mida hii toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa huyu bwana alipata fracture ya femur jumatatu amabayo siyo complicated na...
Hawa walioandika hii habari si waandishi bali waganga njaa tu. Hakuchukuliwa mlimani city bali kwenye baa moja mtaa huohuo wa nzasa panaitwa kwa afande na hata hiyo zawadi ya baisikeli aliyoletewa huyo mtoto na baba yake bado ipo hapo bar imehifadhiwa kaunta. Mimi nilifika eneo la tukio dakika...
Ramadhan Kareem wana jamii. Jana katika kipindi cha Power Breakfast Clouds FM walialikwa reporters wa supersport katika mashindano ya kagame. Kwa wale wenzangu wachache mliopata angalau nafasi ndongo ya kuwasikiliza watangazaji wetu kina Hando na wenzie mnaweza kutathmini kiwango cha ndunguzetu...
Wanzipinga kwa sababu zina mapungufu lukuki kama unavyosikia michango yao makini wakihitaji maboresho ikiwa ni pamoja na hayo mafungu kwa majimbo yao yawekwe. Sasa hapo hauelewi nini?? Acheni hizo bana..
I do concur with you sir/madam. Hili jambo hata mie huwa linanishangaza sana, yaani mtu mpaka unakuwa waziri lakini hujui majukumu ya mbunge ni nini, kweli tanzania bado sana. Eti wanataka mbunge ndio apeleke maji, barabara, hospitali n.k. Kwa kodi ipi anayokusanya?? Huu udhaifu wao sijui...
Kimbunga; Huyo ndiyo mwalimu anaye Walala mikia Almashauri halafu anategemea tumlipe mshahara atufundishie watoto wetu kwa lugha hii na maandiko ya hivi. Kweli Tanzania bado sana..... Huyu anaweza kufundisha wanetu kutu lala mikia daily.
Kwa kweli hawa jamaa hata mimi kiwango chao cha ufahamu huwa kinanitatiza. Haiingii akilini kwa mtu mwerevu kuuliza maswali ya kijinga na kipumbavu kama ya hawa jamaa wa ITV. They are realy bogus. Na wanaudhi kusema ukweli, basi tu. Ningekuwa na jinsi hivyo vipindi wasingerusha kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.