Search results

  1. kilam

    Naumwa na mwili unachoka lakini hospitali hawaoni kitu, inaweza kuwa kitu gani?

    Umepima wingi wa damu (haemoglobin)? Kama umepima wamekuta ni kiasi gani?
  2. kilam

    Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

    Bantu ni watu wenye asili ya Afrika Magharibi (Cameroon) waliongia Afrika Mashariki kupitia Kongo. Hadzabe ni jamii ya wawindaji (wapo kundi moja na Khoisan) na asili yao ni Afrika Mashariki. Hamna uhusiano wa kinasaba wala wa lugha kati ya Bantu na Hadzabe.
  3. kilam

    Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

    Ukiondoa Mawingu na Furaha hayo mengine yote ni maneno ya Kiarabu.
  4. kilam

    Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

    Wewe asili yako ni mtu wa wapi? Tafuta majina ya asili yenu maana hata Waafrika siyo watu wa jamii moja.
  5. kilam

    Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

    Sharia za Kiislaam ni zipi? Torah ni sheria za Kiyahudi na zilikuwepo miaka maelfu kabla ya Muhammad na uislamu wake. Acheni kufuata mila za Wayahudi halafu mnaita eti ni sharia za Kiislaam 😡. Moshe (Mussa) anayedai alishushiwa Torah na Mungu wa Israel hakuwa Muislamu wala Muarabu.
  6. kilam

    Majina ya Wakenya

    Hata Afrika hakukuwa na makabila, Wazungu ndiyo walianza kuita mataifa waliyotakuta makabila. Uhaya, Unyakyusa, Umaasai n.k ni mataifa yaliyokuwa yanajitegemea kabla ya kuitwa makabila na Wazungu. Sifa ya kuwa taifa moja ni kuwa na lugha moja ya asili na watu wa aina moja. Wewe kama unachukia...
  7. kilam

    Majina ya Wakenya

    Nashangaa unavyopoteza muda na mtu asiyejielewa. Kiarabu ni zaidi ya 35% ya Kiswahili, mtu akiongea Kiswahili Muarabu anajua kuwa lugha hiyo imejaa maneno mengi ya Kiarabu. Kuna maneno mengi ya Kiswahili sikuwahi kudhania kuwa ni ya Kiarabu hadi nikawasikia Waarabu wakiongea. Maneno kama wali...
  8. kilam

    Kama Waingereza na Wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama Wazanzibar

    Kama hao machotara wachache waliendelea kuzaa na Bantu pure wengi unategemea nywele zitabaki kuwa laini? Generation ya kwanza ya machotara ndiyo inakuwa na nywele laini na features nyingi za kigeni. Baada ya hapo muonekano wa mtu unategemea na watu wataozaa pamoja. Namaanisha, chotara wa...
  9. kilam

    Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

    Sasa mbona uislamu wote ni mila za Wayahudi na Wakristo? Zaburi, Torati, injili vyote ni vitabu vya Wayahudi. Hata upuuzi mnaoita ni sharia zote ni sheria za Kiyahudi. Majina ya Kiyahudi kama Yusufu, Musa, Ibrahimu, Omari, Djibril yote mnaita ya kiislamu wakati ni ya Kiyahudi. Muhammad alifanya...
  10. kilam

    List of Bilioneaz in Africa. Kenya hata top 100 hakuna

    Huyo mweusi inajulikana chanzo cha utajiri wake, dhuluma na wizi wa baba.
  11. kilam

    List of Bilioneaz in Africa. Kenya hata top 100 hakuna

    Hata nyie Wahindi ndiyo wanadhibiti uchumi wenu. https://www.google.com/amp/s/africa.businessinsider.com/local/leaders/asians-dominates-kenyas-rich-list-here-are-the-top-five-wealthiest-kenyans/dv43xe7.amp
  12. kilam

    BBC: Jeshi la Msumbiji limemkamata Mtanzania ambaye ni kiongozi wa majihadi

    Tatizo ni uislamu, acheni kuzunguka mbuyu na kuleta political correctness.
  13. kilam

    Aliyefurushwa Tanzania kwa kutuhumiwa Mkenya, atunukiwa kitita cha hela na mahakama

    Wengi wanatumia majina yao ya Kiluo. Hapo ndiyo utaona ujinga wa uraia bandia uliotengenezwa na wazungu kama Tanzania, Kenya, Uganda n.k. Waluo wote wa Uganda, Tanzania na Kenya ni ndugu lakini Mzungu akawapa utambulisho tofauti.
  14. kilam

    Aliyefurushwa Tanzania kwa kutuhumiwa Mkenya, atunukiwa kitita cha hela na mahakama

    Una nduza wewe siyo bure, mwaka 2014 ilikuwa awamu ya tano?
  15. kilam

    Hongera Wakenya kwa kukuza lugha ya Kiswahili Sudan Kusini

    Hayo maneno yanayochomekewa ya Kiswahili huenda pia yakawa ni ya Kiarabu. Fuatilia vizuri maana Kiswahili kimejaa Kiarabu.
  16. kilam

    Kuhusu Kesi ya ICJ. Hawa Somalia kama wanatafuta kichapo kutoka Kenya basi watakipata tu

    Leave East African land to Cushites and Nilotes, you Bantu belong to West Africa. Go back where you belong. Somalia 🇸🇴 juu zaidi 💪
Back
Top Bottom