Search results

  1. M

    Matokeo ya Igunga na Maana yake Kwa CHADEMA kuelekea chaguzi nyingine

    Wanachadema wote tujipongeza sana kwa matokeo hayo! Sisi tunatisha na safari yetu inamwanga mkubwa kabisa. Haiwezekani kabisa ngome ya CCM kwa miaka yote hiyo halafu tupte kura zaidi ya 23,000. Magamba bado wanatumia mtaji wako mkubwa wa UJINGA WA WATANZANIA WALIO WENGI. Lakini siku zinakuja...
  2. M

    Nape nchi hii ni yetu sote..!

    Napeeeeeee! sema nipo! Kijana mwenzetu amefrastrate na amepoteza mwelekeo na hana jipya tena. Just imagine a young boy like Nape thinking okwadly like this it si shame Nape! Halafu anajifanya anauwezo wa kusafisha wanamagamba wote! kanafiki tu kanauendeleza. Igunga muaibisheni huyo pamoja na...
  3. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Tunashukuru sana kwa kuamua kutuoneshea utaila wako ambao umesababishwa na magamba, nafikiri utakuwa umeshapewa t-shirt na mke wako kama siyo mpenzi wako ameshapewa khanga, mmeshaoza na kuanza kutumia tumbo kufikiri. Acha utoto umekomaa ww unataka mpaka tukupigie ngoma ndo ujue kuwa umekua...
  4. M

    Askofu Judae Ruwai’chi azungumzia hali ya siasa nchini

    Asante sana Mhashamu Baba Askofu Mkuu, Hapo umenena umetoa hoja zilizoenda shule kama ungekuwa ndo Rais hivi basi bwana wewe ni mtumishi wa Mungu. Lakini umewapa somo waache kuropoka Has Mkuu wetu huyo anongea mambo makubwa kama rais lakini hana ushahidi. Halafu anaongea mahali pasipo husika...
  5. M

    Elections 2010 Chadema kiboko yao

    Chadema mpo juu sana! siyo kama hao magamba wanaoleana sana, ukicheka na nyani utavuna mabuwa. Hao watakuwa walikuwa ni wafuasi wa magamba afadhali kama wamevuliwa kwani walikuwa wanatukwangua tulipokuwa tunakutana nao. Safi sanaaa Chadema mwendo ni huo huo tu!
  6. M

    Elections 2010 Kada CCM aanzisha chama

    Lipi jipya toka kwa hao magamba! hao wametumana kusudi kupunguza kasi za mashine kali za mapinduzi akina docta na Lisuu na Mbowe na wote wanaowanyanyasa magamba. Hii ni kiini macho hatudanganyiki, Wapi na wapi wee bwana ujamaa na kujitegemea leo acha utani mzee, pumuzika tu mzee kwani umechoka...
Back
Top Bottom