Search results

  1. N

    Duniani wawili wawili, mtu anayefanana na Magufuli azua taharuki Kariakoo

    Hapana ...Hayo ya Magufuli ni ya huko mitaani.Kanisani kwetu ni Mchungaji tu...Watu mpaka kanisa letu wanaaliita kanisa la Magufuli..
  2. N

    Duniani wawili wawili, mtu anayefanana na Magufuli azua taharuki Kariakoo

    Huyu Ni Mchungaji wetu ...Si kama mnavyofikiri ,amekuwa na wakati mgumu toka Magufuli awe Raisi.Si mtu wa kutafuta attention lakini inabidi aendelee na majukumu ya Uchungaji..
  3. N

    Duniani wawili wawili, mtu anayefanana na Magufuli azua taharuki Kariakoo

    Kweli kabisa,alikuwa kariakoo kununua vifaa vya kanisa.Hapendi kabisa hiyo attention.
  4. N

    Duniani wawili wawili, mtu anayefanana na Magufuli azua taharuki Kariakoo

    Mchungaji wetu huyu...Sijui kwa nini watu wanamkosemasha Amani.
  5. N

    photocopy mashine inahtajka dar

    Habari mkuu.kuna canon Np 6216.Ya mezani black and white.Imported toka Eu.ni Used.
  6. N

    Ukweli kuhusu unga airport.

    Hakuna lolote,tukipita sie tusiokuwa na nyunga mnatunyanyasa kama nini.na vizawadi vyetu vya korosho na viungo vya pilau.wenzetu na mikilo yote ya drugs,mtadai labda maziwa.msonyoooo.
  7. N

    Natafuta supplier wa matunda

    Wakunyumba asante sana nimeshakutumia email.Na namba nilikosea nimesharekebisha karibu .
  8. N

    Natafuta supplier wa matunda

    Habari wanajf natafuta supplier wa matunda yafuatayo strawberry,Raspberry na grapes.Tafadhali kama wewe ni supplier au unamfahamu mtu anayelima huko singida ,Arusha na Iringa,tuwasiliane kwa namba hii 0659566825.Natanguliza shukrani.
  9. N

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Duu,nchoka mie
  10. N

    Joshua Nassari Kumwoa Halima Mdee?

    umbea .com
  11. N

    Kukopeshana na kudaiana kwenye mapenzi au urafiki

    Wadau mnanikumbusha kisa cha rafiki yangu kumkopesha Boyfriend wake 2008,na hajamlipa mpaka leo 2011.Bahati mbaya 2010 waliachana.Shosti wangu kapigania pesa zake mpaka amemshukuru Mungu Amezisamehe namwonea huruma sana. Binafsi nimejifunza kutoka kwake sikopeshi mtu anayeitwa boyfriend au...
  12. N

    Used washing machines dealers

    Wanajamii naomba msaada wa wapi naweza kununua washing machine used hapa Dar .Tafadhali nisaidieni ni urgent.Natanguliza shukrani.
  13. N

    Housekeeper available

    Wakuu,kama kuna mtu anahitaji Housekeeper,mchapakazi , mwaminifu na amesoma Veta Mikumi ,muda wa miaka 2na nusu.Tafadhali ni pm au nipigie simu no 068490066.Ana experience ya kazi toka sehemu kama ,southern sun Hotel na Sea cliff Hotel.Asanteni Sana.
Back
Top Bottom