Search results

  1. Edgar011

    Mwamposa Buldoza anazo nguvu za kweli

    Hivi umejibiwa hii mkuu?
  2. Edgar011

    Mandonga azuiliwe kucheza ndondi atakuja kuuawa

    Sikubaliani na wewe. Kupoteza sio tafsiri ya kua hana uwezo maana hata walio bora hupoteza pia. Kifo isiwe sababu ya kumfanya mtu asifanye anachokipenda kwa ajili ya maslahi ya familia yake. One day atashinda tu!
  3. Edgar011

    Kwanini Mungu alimuua Onani kwakumwagia nje?

    Naamini mawazo yangu na yako yameenda sawa. That was punishment for disobedience!
  4. Edgar011

    Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

    Unaamaanisha nini kusema jimbo lake?
  5. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna mda unaweza jiuliza umemkosea nini Mungu. Stricker mmoja aliyepewa dakika 90 za kucheza kashindwa kufunga ananinyima 1.5M. Aisee
  6. Edgar011

    Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

    Huu uzi wa mwezi wa nne 2018, naamini mtoto atakua anatembea sasa hivi. Naomba kusikia kwa aliyeomba ushauri, Mtoto wamempa jina gani..
  7. Edgar011

    Show ya albinism yanifanya maji niite muma!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    toughlendon_1 Nimeku PM mkuu
  9. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi ni fala kabisa. 4M nimeikosa kizembe hivi. Sitaki kupanic nisije bet leo kwa pressure nipewe za uso. Sitengenezi behewa, naweka game 5 tu (odds 3-5)natia mpunga wa kutosha. Nahitaji kua serious na hii biashara
  10. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na huwezi amini niliutengea 50. Ila sio mbaya, kama ipo, ipo tu. Kuna jackpot moja ya perfect12 niliiandaa hivi, halafu nikasahau kuilipia. Kuja kucheki asubuhi matokeo mech 11 zilitick, halafu hakukua na aliyepredict game 11 kwa ufasaha. Nilimind sana.
  11. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu mkeka ukitiki ntajiona ni fala wa mwisho. Asubuhi niliuandaa, mchana kazi zikabana nkasahau kuulipia. Ningejua bora ningeuweka humu wadau wampige mande kanji. Sio poa kabisa
  12. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sema nashauri hii ya genoa, possibility ya red ipo maana Genoa ana mchezo wa nguvu sana. Mwezi uliopita alipata red cards 4. Ila mwisho wa siku hii ni betting, lolote laweza tokea.
  13. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilikua natafuta odds 10+, hapa nimefika..
  14. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu huu mkeka nauwekea laki, nauona una dalili njema kabisa. Bonus yako utaipata
  15. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yah hii imewahi kunikuta pia. Wakanipa namba ya whatsapp nitume vitambulisho na email yangu. Ilichukua mda kuactivate account yangu lkn mwisho wa siku ilikaa poa. Cha muhimu wasumbue kupitia whatsapp number yao
  16. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu naufata kama ulivyo Mr Chichi
  17. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Si ningeweka hata 50K. Daah
  18. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ma Odd ya kumwaga mtu unayaogopa halafu ndo yanatema pesa..
  19. Edgar011

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah weekend mbona imeanza vibaya. Dogo alikua na odds ndogo kashindwa kufunga, daah
Back
Top Bottom