Search results

  1. F

    Waumini wa KKKT Kijitonyama waanza kuulizwa namba za Bahasha za Sadaka mlangoni

    Bagonza yupo Karagwe lakini anasikika nchi nzima kuliko waliopo Azania Front. Kama Mungu ameweka kitu kwa mtu binadamu wanajisumbua sana.
  2. F

    Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Umeandika kwa ushabiki sana. Hili kanisa (viongozi) hawapendi wachungaji wenye maono. Unamwongelea Kimaro na Mtasai these guys have visions angalia impact kwenye sharika zao. Mnataka wachungaji wanaosinzia.
  3. F

    Naomba kujuzwa utagaji wa kuku aina ya Kuroiler na SASSO

    kroiler ni watagaji wazuri sana, changamoto ni soko la mayai. Ukiuza mayai ya kroiler kwa bei kama ya mayai ya layers huwezi pata faida na wateja wengi uswazi watapendelea mayai cheap ya layers. Lakini kama una wateja wako wa mayai ya chotara watako weza kununua kwa sh 12,000 hadi 15,000 kwa...
  4. F

    Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

    Mtoa mada unafahamu kuna chanjo ngapi za COVID ukiacha hiyo Astra Zeneca? siyo kila chanjo ya COVID ni Astra Zeneca. Tofautisha sayansi na siasa.
  5. F

    Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

    Alikuwa sahihi kusikilizia kwanza madhara ya chanjo, alichokosea ni kukebehi na kuponda hadharini wakati hakuna nchi iliyolazimishwa kuchuka chanjo. Haikutakiwa kuwaponda na kuwakebehi wakati chanjo zote za watoto zinatoka kwao. Ilitakiwa tuseme kwamba bado tunajiridhisha kwanza.
  6. F

    Askofu Gwajima, mahubiri yako ya jana tarehe 7 Machi, 2021 yana walakini

    hivi bado kuna watu wanamwamini huyu jamaa, dah!
  7. F

    Mwakalebela: TFF haitutendei haki

    Mbona Yanga tumeanza kupoteana mapema hivyo? tatizo tunataka kujenga timu ya kisasa afu tunawapa nafasi watu kama Mwakalebela.
  8. F

    Tuliambiwa Mzee Yusuph anarudi kwa kasi ya ajabu, sijafanikiwa kusikia chochote hadi sasa

    ameshaanza jmosi hii atakuwa Soweto Park Malamba Mawili.
  9. F

    Taarifa ya kusikitisha: Binti akiri kuwa alisingizia kubakwa na kupelekea mbakaji kufungwa jela miaka 60

    Kwani ilikuwepo hiyo ripoti ya mkemia? Huifahamu vizuri Tanzania, kesi nyingi zinahukumiwa bila hivyo vipimo vya DNA.
  10. F

    Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

    Madaktari nisaidieni kujua, kwanini nchi za kiafrika hazifanyi research ya chanjo kama Ulaya na Asia wanvyofanya? ili tuwe na chanjo zetu?
  11. F

    Hakuna redio inaomba sadaka kama Upendo FM

    kama unasikiliza na sadaka hutoi siyo vizuri, bora uskilize TBC inayoendeshwa kwa kodi yako.
  12. F

    Mjadala: Nandy na Zuchu nani mkali?

    Huyu Zuchu ni nani na katoa nyimbo gani?
  13. F

    Kama unataka kufanikiwa ondoka nyumbani kwenu

    Nimemwelewa mdau, watu wa nyumbani kwenu mara nyingi hawapendi uwe exposed kwenye risk, wanataka uwe kwenye confort zone tu na mafanikio yako kinyume kabisa na comfortability.
  14. F

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Nadhani hili suala la kufeli kwa hizi shule liko connected sana na utamaduni wa pwani kuliko uislam wenyewe. Mfano nikiangalia rafiki zangu waislam wa bara kama Kigoma, Bukoba wanathamini elimu. Au angalia waislam wa nchi kama Ufaransa, Uturuki na pengine they value education. Sasa tatizo kubwa...
  15. F

    Middle East Political Unrest: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje wanatoa tamko gani juu ya usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?

    Mkuu hapa bongo huduma ya maji ni kama luxury commodity, wenzetu sasa hivi wanagundua technlogy mpya za kivita, wanafanya research za kutibu wadudu wakati sisi hospitali hazina madaktari, madaktari wamesoma lakini hakuna bajeti ya kuwaajiri. Tramp na Kabudi wanaishi dunia tofauti kabisa
  16. F

    Hivi ndivyo Jenerali Qasem Soleimani alivyouawa na Marekani

    Vita za kisasa watu wantumia sana teknologia, mwenye technology ya kisasa zaidi ndo anakuwa mbabe. Yale mambo ya wanajeshi kuvunja matofari sijui na nini huwezi yapiga majeshi ya hawa mabeberu ambo kilasiku wako kwenye uvumbuzi wa technology ya kijeshi. Pia tujifunze kitu kimoja kutoka vita ya...
  17. F

    Ni sahihi kwa mwanamke kuishi pekee yake?

    Sababu mojawapo ya mabinti kukosa mwenza wa kukuoa ni kupenda kukaakaa nyumbani, unakaa nyumbani kilasa saa dady, mamy muda wa kukutana na watu unapungua sana, unahamaki muda umeenda sana.
Back
Top Bottom