Search results

  1. obm

    Multichoice (Dstv) na Zuku hatarini kunyang'anywa leseni za kurusha matangazo Tanzania kwa kukaidi Agizo la TCRA la kutoonyesha televisheni za ndani

    Azam local channels zinazoonekana tangu jana ni TBC, ZBC1 and 2 na Wasafi TV, the rest hazioneshi wanatoa message uwasiliane na service provider.
  2. obm

    Milioni 50 kila kijiji, laptop kila mwalimu na elimu ya bure kipimo cha kwanza kwa Magufuli

    Kwai ni ya vijiji tu nadhani hata mitaa ya mjini pia itapata. Kweli ahaidi ipo pale pale. Na shule nyingi pia zishapta funfu la mwezi Januari (Free education for all)
  3. obm

    Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    Tatizo hili linaweza kuwa ni kutokana na kutokouwa na sera sahihi za nishati(energy policy) kulikuwa na ya 1992 april, then kuna draft ya 2015 hizo za nishati, bado kuna ya gesi 2013? Sasa sijui gesi sio nishati? Tunatakiwa kama taifa tuwe tunajua tunahitaki nishati kiasi gani na lini. Ili...
  4. obm

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Sifa uchwara??? Anza na maneno haya kwa takwimu za safari za mwaka mmoja bilioni 600 zinatosha kujenga lami km 400, sasa endelea vinginevyo madarasa??/ magari washawasha??? Nk. Hapa kazi tu
  5. obm

    NEC: Idadi ya Wapiga Kura bara ni 22,751,292 na Zanzibar ni 503,193

    Vituo 72,000 Watu 450 jumla ya wapiga kura ni 32.4 milioni? Vipi hii 22.7 milioni? Wengine wanasema 24.7 millioni?
  6. obm

    Maamuzi ya kishabiki na hatma yake kwa Watanzania

    Rohomba = TANU +ASP huu ni ukweli usiopingika. Wanaposema miaka 50+ nadhani wako sahihi. Tusibishe kila kitu tu
  7. obm

    Is it bad to have a toilet share a wall with the bedroom

    kuchota mavi na kuyaweka chumbani? kimsingi mavi (lowassa) yamechotwa kutoka chooni (ccm) yakaletwa chumbani (ukawa) hii kama ndio mana yake basi waliompa kazi hii padre wajue kuwa kawananga zaidi. choo kitabaki kuwa choo na ni sehemu ya kuhifadhi uchafu(kinyesi na mkojo). Ikiwa na maana ya kuwa...
  8. obm

    Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Kimantiki unaweza kuona kama ni tatizo ila kimkakati ni hatari lakini kwa kuwa anayetoka nje ya ccm ni lowassa na sio magufuli wajenga hoja wanaweza kulitumia hilo hilo tangazo kama promo ya lowassa dhidi ya magufuli kwani yeye bado yuko ndani ya ccm. Ni mitizamo tuu
  9. obm

    Kilichowaliza wananchi wa Songea dhidi ya Dk. Nchimbi ni hiki

    Maambukizi ya ukimwi yalikuwa 15% mwaka 2005 na leo yapo 4%,. Hii inaonyesha wengi waliokuwa nao wamekufa na hakuna maambukizi mapya hizi ni sifa za kijinga nyumba za walimu zilikuwa 70 na zimeongezeka mpaka 78 miaka 10 unaongeza nyumba nane. Mi nadhani ndio maana kaona aondoke ni aibu na huyu...
  10. obm

    Game la harakati za kuusaka urais CCM limerudishwa mwanzo baada ya kuvuja kwa email

    Ni email zipi hizo au zile za kuomba msaada wa ongezeko la pesa kwani kazi inaonekana kuwa nzito zinahitajika millioni mia saba ili kazi ikamilike. Au ni zipi hizo mails
  11. obm

    Ni Laana kwa Afrika kufuta vibali vya Uchawi na Uganga Tanzania

    Nasikia uinggereza wao wana ajira maalumu kwa mchawi na wachawi hufanya interviiew na aliye mchawi zaidi hupewa kazi katika moja ya bustani zinazotunza mambo ya uchawi. Basi ili tusifute hivi vibali tuwe na ajira ya mchawi na mganga mkuu wa jadi. Hawa watasaidia kujua wachawi na waganga feki na...
  12. obm

    Tanzania haina uhusiano wa kibalozi na Vatican

    Ubalozi na Israel tuliufunga baada ya sisi kuonyesha na kuisupport palestine. Waisrael wakajiondoa na wao ndio waliokuwa wameanzisha JKT. Kwa sasa ukienda israel unaweza kufanya application ya viza kupitia kwa agent aliyeko israel. Sio kweli kwamba tuna ubalozi, Na pia ukumbuke hata vatican...
  13. obm

    Ratiba ya ziara ya ACT Wazalendo, ziara ya kufyeka msitu

    Chama gani cha kuwase,ei hiki cha akina rama na jack? msifanye watanzania mazoba nyie watu ambao nyerere aliwaita wahamiaji (waha)? kwenu wapi
  14. obm

    Uzinduzi wa chama ACT Tanzania March 29, 2015, kumbe walikuwa hawajazindua?

    Unatakiwa ukaa kwenye chama kwa muda gani ili uweze kuwa kiongoozi. Its a fair tale kuwa chama kitakuwa hajikauelewa. Na mtu mwadilifu huwezi enda kwenye chama cha wenzako ndani ya wiki mbili wakakupa dhamana na kuwaongoza wao ukakubali. Ki msingi utakuwa hujajitendea haki wewe na wao. Falsafa...
  15. obm

    Sasa najiunga na ACT Tanzania

    Kina shoza nao wanarudi act? association of Criminals Tanzania this is real a name
  16. obm

    Baada ya kukosa vita, JWTZ wageuka TAKUKURU

    For thinkers, hii ni moja wapo ya mbinu anayoitumia mkuu kuwatengenezea jeshi uhalali wa kusimamia zoezi la uchanguzi. Hili kwa mwenye maono ya mbali inabidi lipingwe sana. Huu ni ujanja ujanja eti wagawe vitabu, watumike kwenye kazi nyingine, kwanini wasiende kongo
  17. obm

    Nimemkataa baba mzazi, na sitaki kupima DNA

    hongera sana kuna kina mama wa ajabu anataka kula peke yake. Miaka 38 hajakuonyesha baba yako iweje leo una kazi? Mimi ningewatosa wote tena mbaya. Mpe baba aliyekulea furaha yake
  18. obm

    Mkakati wa CHADEMA wa kuvihujumu vyama washirika wa UKAWA huu hapa

    Mjifunze uandishi uliondika umewaondoa kabisa chadema kuwa wenye huu muhustasari. With your little braing you can impersonalize brained institutions like chadema kweli umejitekenya angalia usije jitia kidole
Back
Top Bottom