Search results

  1. M

    Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Kwa wale wasiojua mchango wa Lamwai kweney Upinzani ni yeye aliesimama kidete kumtoa Gerezani Seif Sheriff Hamad aliekuwa katika kesi ya Nyaraka za siri .Lamwai musimhukumu wka yaliomkuta ni sawa sawa na Kasanga Tumbo. Muacheni Lamwai afunze vijana wengine watakaofuata Nyayo zake hapo Bongo. I...
  2. M

    Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

    I will put my prediction every month kwa kila Mkoa Jinsi Upinzani ulivyozidi nchini Kama utakumbuka kuna Mwandishi mmoja alisema in 2010 election is over but kuondoka Kwa DR Slaa Bungeni ni pigo kubwa kwa CCM kwani alitumia muda wake wote kujenga upinzani nchini nje ya bunge na sasa CCM is in...
  3. M

    Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

    I feel soryy for CCM idata ya Usalama imewapa reprt kuwa 2015 Mkoa wa Dar CCM itaambulia jimbo moja tu la ILala.
  4. M

    Zitto Sio wa Muhimu Kiasi Hicho

    Tatizo la chadema hawajijui rasilimali waliozonazo zikishawatoka ndio watajua makosa waliofanya kama awaliofanya CCM walipomfukuza SeifSheriff Hamad end of the day ndio huyu Hamad aliwatesa CCM hadi wamekaa naye chini kumrudisha madarakani .Kwa upandewa Chadema hawaelewi Waislamu are very...
  5. M

    Pendekezo: Madaraka Nyerere awe mgombea urais wa CCM

    Kwani niwaulize Watanzania si kuna majina mengine si kuna Husssein Mwinyi , Ridhwan Kikwete , Kina Kawawa , Vikarume si Royal family zote hizi si watazania tunapenda majina makubwa tu ? Watanzania wanaogopa nini kuweka new Royal Family au system inapanga tu na Watanznaia kazi yao kupiga makofi tu.
  6. M

    CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Chadema ndio muna wasomi ila hamuwezi kupigana vita viwili wka wakati mmoja itakuaje leo Mupigane na CCM upande wa Pili pia mupigane na Chama Kikubwa cha Upinzani CUF munawa confuse Watanzania na kuwarudisha nyuma katika harakati za kupigania ktiba mpya ya Tanzania chagueni less eviil muunge...
  7. M

    Kenya sasa yaongoza kwa demokrasia shirikishi katika EAC...

    The statement quoted Mr Netanyahu as promising to help build a "coalition against fundamentalism" in East Africa, incorporating Kenya, Ethiopia, South Sudan and Tanzania. Watanzania tujiulize kweli rafiki yangu anatafuta pesa ya Kutimiza ndoto yake ya Urais Raila hii sitawaficha kuna report ya...
  8. M

    CUF walipa jeshi la polisi siku 3 lifute kauli!

    KAMA KWELI hao chadema wanaamini mkono utakatika basi waendelee kufuata tu kama sungura labda utakatika miaka ya usoni. Tuwaulize Chadema toka chama chao kiundwe wameifanyia nini nchi wamefanya nini kubadilisha katiba ya nchi kwa manufaa ya watu wote . Hadi leo hii Watanzanai wote hawazijui...
  9. M

    CUF walipa jeshi la polisi siku 3 lifute kauli!

    KAMA KWELI hao chadema wanaamini mkono utakatika basi waendelee kufuata tu kama sungura labda utakatika miaka ya usoni. Tuwaulize Chadema toka chama chao kiundwe wameifanyia nini nchi wamefanya nini kubadilisha katiba ya nchi kwa manufaa ya watu wote . Hadi leo hii Watanzanai wote hawazijui...
  10. M

    Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu

    Inasikitisha kwa ccm kumtuma nape nje ya nchi kuja kuangalia nini watanzania wa nje wanavyoiona ccm .
  11. M

    Nimeamua kuhama rasmi CHADEMA nimehamia NCCR MAGEUZI

    Kwanza niwaambie wanaforum watanzania inabidi tuwe matured si ametumia uhuru wake wa KATIBA YA KUJIUNGA CHAMA anachopenda na pengine alitaka kuwaambia wafuasi wenzake kwua amehama kwenye nyumba hiyo amepata majirani wapya ugomvi wa nini ndio uhuru wa Democracy huo tupunguze jazba na ufuasi ...
  12. M

    Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo

    Nitawaonya Watanzania kuwa tusishangirie kwa Mtanznaia kupata nafasi ya Ocompo je Jaji huyu atawahukumue kina Uhuru Kenyata vipi na tuko nao kwenye Umoja wa Afrika Mashariki , Pia niwaulize vipi twue proud na ICC inayotumika na nchi za mgharibi kwuaondoa au kuwapunish wanaoharibu maslahi yao kwa...
  13. M

    Mbowe aibomoa CCM hai, wanafamila wa mkiti CCM wilaya, wahamia CHADEMA

    Haya Mikael P Aweda Chadema nasikia jina la mzee wetu Professor safari ndio mgombea Mwenza haya Mgombea urais ni nani mutaweza harakati za Zitto kuwa na ndoto zake za Urais kumeueka Pembeni au kukosa kura za Waislamu kuwa chadema haitaki waswahili wa Pwani ? na CCM uchaguzi ujao washachagua...
  14. M

    CUF, CHADEMA, NCCR na TLP anzisheni makubaliano sasa mlikomboe taifa letu

    Ikiwa CUF ni CCM B na jee Chadema si chama cha Kanisa ! sasa si bora tubaki na huyu marehemu CCM . NCCR ni chama chenye Historia kubwa kwa Tanzania ikiwa Mutakumbuka 1995 ndio chama kilichokua msatari wa Mbele kupigania mageuzi pamoja na CUF ila Chadema kilikua chama cha wachaga na kilikosa...
  15. M

    Mwalimu J.K.Nyerere; Ghadafi Koma Damu Ya Watu Wangu Si Sawa Na Thamani Ya Mafuta Yako..!

    Mimi kwanza si mfuasi wa Membe wala wa CCM ila kauli ya Membe imenipa hope ya ujasiri wake nakumuona Membe kama Kiongozi shupavu kama ule wakati wa Nyerere kwani alisema Tanzania ni nchi sisi hatushawishiwi kumtambua mtu yoyote kuitambua nchi kwa shinikizo la mtu au Taifa fulani tuna uhuru wetu...
  16. M

    Je Gaddafi hakuwahi kuwatendea mabaya walibya?

    NAFIKIRI JIBU LAKO UTALIPATA KWENEY ARTICLE HII HAPA ISOME UTAFAIDIKA NA KUFUNGUKA UBONGO The Gaddafi love-in ends | Al Jazeera Blogs The Gaddafi love-in ends | Al Jazeera Blogs NATO Secretary General Anders Fogh Rasmussen has said that 'there is no military solution to the Libya conflict'...
  17. M

    Mufti Simba una hoja ya kuwajibu Watanzania

    Nafikiri kamma chadema wako smart ni watu pekee kuitumia mada hii kuonesha jinsi CCM ilivyowabagaua Waislamu wa TAnganyika na hata kuwakatalia kuwa na KADHI kama Chadema ni smart na wanataka kuungwa mkono na Waislamu waende deep kwenye Historia na wampe reserach Mzeee wenu akamwage jukwaani na...
  18. M

    NAPE: Watu wameshindwa kujitokeza kupiga kura wakiohofia kumwagiwa Tindikali

    Nape alitumiwa na Chadema kuunda chama na Mpendazoe ili kukisambaratsiha CCM alitumia style ya Odinga huu ndio ukweli kama hamujui Nape ana uanachama siku nyingi. Wakubwa wanamhifadhi tu kwa maslahi yao na ndio alipoondolewa mjini na kupelekwa vijijini baada ya Usalama wa taifa kumshtua Rais na...
  19. M

    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    Mimi Nitamuuliza huyu mla MAKUMBIRA huko Mtwara au Masasi sasa CCM haiwaamini vijana wake hadi walete wazee ndio wapate kura za wazee , haya jimbo moja tu , Mkapa , Wasira , Mzee wa Watu Mangula, Magufuli , January Makamba , Shigela nikiendeleza hii lsit naweza kusema jee 2015 lsit hii ya wazee...
  20. M

    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    Ingawa CCM ineshinda ila huu ni msiba mkubwa kwa CCM Mbunge gani atakeeheshimika jimboni kwake wakati 51% ya Wapiga kura wamemkataa hapa ninawasifu Chadema kutoka 0% kwenye jimbo hili hadi 45 % ni big jump ila kwa CUf as well wanahitaji kusoma alama za nyakati walizotumia CCM na Chadema kuweza...
Back
Top Bottom