Search results

  1. mzee wa mawe

    CHANGIA CHADEMA LIVE kupitia STAR TV: IJUMAA 23 Machi SAA 2 - 4 Usiku

    kweli nimekubaliana na maneno ya Nape wafadhili wameingia mitini, baada ya kuona hakuna ukombozi bali viongozi kuendelea kujitajirisha kupitia siasa.
  2. mzee wa mawe

    Arumeru Mashariki: Mwenyekiti wa CCM ahamia CHADEMA

    MINJA, Minja, minja si mchagga huyu, hakuna ajabu kwa chadema.
  3. mzee wa mawe

    Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

    siku za chadema zinahesabika
  4. mzee wa mawe

    Prof Lipumba kunguruma kesho kibandamaiti Zanzibar.

    huyu prof Lipumba mimi namuaminia maprofessor wa kizungu wenyewe wamesurrender sembuse hawa maprofessor wetu vichwa vya kuku!
  5. mzee wa mawe

    Cuf yazidi kusambaratika

    cuf chama kubwa, cuf mziki mkubwa, Lipumba songa mbele utukomboe.
  6. mzee wa mawe

    Kudorora kwa kampeni ya Arumeru sababu CUF haipo?

    kwani chadema washinde Arumeru wachagga wapo wengi?
  7. mzee wa mawe

    CHADEMA waiteka Ambureni

    uwongo mwingine hauingii akilini kabisa, kusanya watoto wako uwajaze uongo wako.
  8. mzee wa mawe

    Prof Lipumba kunguruma viwanja vya Mwembe Yanga tar- 21/3/012

    CCM watatutawala milele kwa ujinga wa hawa watu wanao endekeza MFUMO KRISTO.
  9. mzee wa mawe

    Wazee wako Dar es salaam tuuu, inashangaza. Kila mara wazee wa Dar, questionable

    wazee wa dar ndio waasisi wa taifa hili hata yule kijana alipotoka musoma na kikaptula na g..o..v..i lake wakamuondoa mkono wa sweta wakamfundisha kuvaa suruali na ustaarabu wakampa nchi. mjini shule
  10. mzee wa mawe

    kwa nini cuf hawaendi Mbeya, Moshi, na Arusha

    mbeya, arusha na moshi ni mikoa iliyozikwa kitovu cha yesu, huko UDINI umeshika kasi ile mbaya, kwao wakristo analosema askofu ndio mungu, kwao udini ndio nyenzo kuu. Tatizo la Tanzania ni mfumo kristo.
  11. mzee wa mawe

    Nbc yawa bank ya kiislamu

    huyu jamaa anasumbuliwa na MFUMO KRISTO.
  12. mzee wa mawe

    Uonavyo: Kati ya prof LIPUMBA na Dr SLAA ni nani zaidi?

    jamani mnakosea na ni dhambi kubwa kumlinganisha SLAA na LIPUMBA, Lipumba ni zaidi ya slaa mara billions, LIPUMBA ni mlima kilimanjaro slaa ni KICHUGUU tu. kura za SLAA zinatoka kanisani si kwa WANAINCHI, LIPUMBA ni chaguo la watanzania wote hategemei kura za IMANI, hakuna kiongozi mwenye...
  13. mzee wa mawe

    Prof Lipumba ni Rasilimali ya Tanzania

    kweli huyu jamaa ni genius wa ukweli
  14. mzee wa mawe

    Mgombea wa CHADEMA Igunga hali mbaya..

    Matokeo ya igunga 1. Leopold mahona cuf 18,352, 2. Kafumu ccm 15,629 3. Joseph kashindye cdm 8,746.
  15. mzee wa mawe

    Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    hoja hapa ni kuvuliwa hijabu si kupigwa, Masheikh wana haki zote kulisemea hili la kuvuliwa hijabu kwa kuwa Fatuma ni mfuasi wa uislam
  16. mzee wa mawe

    Mtatiro aishambulia Chadema Igunga

    kuna watu wanacheza ngoma wasioijua, CDM ni chama cha wachagga, hata huku mitaani wanasema chama cha nyumbani.
  17. mzee wa mawe

    Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    ahaaa kumbe bakwata hawana mchango katika chama chenu cha cdm kumbe wenye mchango ni RC?
  18. mzee wa mawe

    Mgombea CUF aanza kampeni ya mtu kwa mtu

    Akiingia katika awamu ya pili ya kampeni ya uchaguzi mdogo wa igunga Leopold Mahona katika vijiji viwili kabla ya kupanda jukwaani alisalimiana na kila mwanakijiji waliojikeza kwa wingi na kuwaomba kura zao. Akiongea kwa kujiamini na kwa kiswahili fasaha amewaomba wanainchi wa igunga kumpigia...
  19. mzee wa mawe

    Tundu Lissu atoa tamko la CHADEMA huko Igunga leo...

    Mbakaji yake jela, tena ni bora mahakama kesho iwahukumu kunyongwa, hawa cdm watu hatari sana.
  20. mzee wa mawe

    Mgombea CUF asimamisha biashara Sokoni Igunga.

    Chadema chama cha wahuni,
Back
Top Bottom