Search results

  1. C

    Tatizo la Moyo kujaa maji

    Nipe maelezo kidogo mkuu..naona umeniachia namba tu..najua natakiwa kupiga ila ungeweka nyama kidogo. Je, wewe ni daktari? au unajua sehemu ambayo tunaweza pata tiba ya hilo tatizo? au ni mtaalamu wa tiba asilia?..Please maelezo kidogo. Thanks
  2. C

    Tatizo la Moyo kujaa maji

    Habari wataalamu wote humu ndani. Mke wangu anasumbuliwa sana na tatizo tajwa hapo juu. Moyo wake umejaa maji ambayo kwa mara ya kwanza yalitolewa kwa mpira na yalikuwa mengi sana ila baada ya wiki yakaonekana kurudi ingawa si katika hali ile ya mwanzo, mara hii yakiwa ni kiasi kidogo ila si...
  3. C

    Viongozi wa CCM Kakonko Kigoma wapigwa na radi na kufariki

    Tuwe makini jamani...Mungu huwa hajaribu..mwenye sifa ya kujaribu ni sisi viumbe alotuumba tukiwemo binadamu. Mtanisamehe kwa hili
  4. C

    Lunch time inavyotumiwa na wafanyakazi wanandoa kuchepuka

    Aisee nilijua ni ile Luch Time Hotel...kumbe muda wa chakula cha mchana
  5. C

    Men lets be fair kwa kweli

    Nadhani cha msingi hapa ni wanawake kutotuma picha zao za utupu kwa hao wanaojidai kuwa wanawapenda....tatizo katika hili ni kamba wanawake ni wadhaifu sana haswa wakipata mtu ambae ana kile anachokitaka/anachokipenda. Mwambie mwanaume mwanzo kabisa wakati anakufuatili/anakutongoza your likes...
  6. C

    RIWAYA: Siku ya graduation

    Pamoja mkuu...hadithi tamu sana
  7. C

    Wazazi, adhabu ya kumvulia mtoto nguo kumpa laana is not fair

    Wewe ndo uko brain washed mkuu, hii kitu ipo na ina exist na nina vivid examples nyingi sana katika maeneo mbalimbali ninayoishi, japo nakubali wapo wazazi wanayoitumia vibaya ila hicho si kigezo cha kusema haipo
  8. C

    RIWAYA: Siku ya graduation

    Hilo jina nimelitoa mbali sana mkuu, ni jina la mwalimu wangu mkorea
  9. C

    RIWAYA: Siku ya graduation

    Safi sana..ndio imeisha au bado..kama bado usikose kuniita mkuu Casuist
  10. C

    Simwelewi maamuzi yake msaada

    Ianzishie thread mahala husika...kwenye thread hii aliyoanzisha mwenzako sidhani kama ujumbe utawafikia wengi. Ni ushauri tu
  11. C

    Kumuua mtoto wako

    mkuu BAK si magari tu, kuna dawa pia na sumu aina mbalimbali, moto, majiko ya gesi, mashimo ya vyoo n.k.. Mtoto wa rafiki yangu alinusurika kifo baada ya kunywa dawa iliyoacha wazi na mama yake. Umakini katika kila kitu kwa kweli unahitajika juu ya malezi ya mtoto
  12. C

    Imekuwa fashion au vipi mbona sielewi

    Yap kuna ka ukweli fulani. Nilipata kusoma sehemu kuwa mwanamke kukuvulia pichu na kukupa papuchi ni hatua yake ya mwisho kukuonyesha upendo wake (ukiachilia mbali machangudoa na wanaofanya hivyo kwa ajili ya maslahi fulani). Wanaume wanaoendeshwa na tamaa wanaweza kwenda extra miles ili...
  13. C

    Natafuta mke mwenye jinsia mbili(shemale)

    At least hujaongopa hapo kwenye umri maana hii ni thread ya 2012 na ulisema una 42 na sasa ni 44...uthibitisho tosha kuwa ni wewe muhusika mkuu. Be serious with life brother..kwa umri wako si wakufanya vituko kama hivyo...
  14. C

    Stories za wachumba wa Jamiiforums

    Nimependa personality yako though huwa siamini sana kwa watu kujielezea wenyewe walivyo ila kama ni real upo hivyo hongera sana na endelea kujitunza. Epuka mabazazi..social medias zina mambo mengi sana na asilimia kubwa ya watumiaji ni fake na wanatumia fake IDs.. Ogopa watu wanaojifanya wema...
  15. C

    Wazazi, adhabu ya kumvulia mtoto nguo kumpa laana is not fair

    Laana ipo mkuu...omba Mungu akuepushie
  16. C

    Wazazi, adhabu ya kumvulia mtoto nguo kumpa laana is not fair

    Mtoto alifanya kosa gani? Maana si kila laana humfika mtoto...inategemea na kosa lenyewe
  17. C

    RIWAYA: Siku ya graduation

    mkuu Casuist ukipost muendezo wa hii riwaya nitag/nistue..nimeipenda
  18. C

    Hii ni 'pure class'...

    Nimeipenda..ni jambo la msingi sana katika maisha..kila mtu ana mchango wake katika jambo, tujifunze kushukuru mchango wa kila mmoja
  19. C

    Kumekucha, sogea tunong'onezane!

    You said it all..waliosikia na wasikie
Back
Top Bottom