Search results

  1. G

    Msafara wa CCM wapigwa Soko la Kilombero Arusha

    Piga haooooooooooooooooooooooooooooooooo
  2. G

    Mahakama kuu imetoa hati kukamatwa Nabii na Mtume Josephati Mwingira

    Mwingira, japo kuna gharama kwa uliyosema (serikali legelege) kuiumbua namna hii tegemea watawala kukukomalia ili watoe funzo kwa wengine Anyway, napenda kazi ya kutoa elimu ya uraia inayofanywa na huyu mtume na nabii
  3. G

    Best movies

    Hivi movie ya Morgan Freeman iitwayo 'the contract' ni ya mwaka gani,
  4. G

    Kichwa nazi ukimpasua kichwa kitakuwa hivi

    Kichwa nazi???????!!! sawa, cha kufurahisha atabaki anachekacheka na kutabasamu
  5. G

    Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

    Pole sana mkuu, Mungu akupe faraja na watoto wenu
  6. G

    Matajiri wa Tanzania ni Mabepari Wanyonyaji?!.

    wakuu hebu tukiangalie hiki:focus: Tajiri mwema ni wewe mwenyewe pale usipoila ganji nafsi yako, ukishaajiri basi ndo unakutana na vibweka vya kina joti
  7. G

    Matajiri wa Tanzania ni Mabepari Wanyonyaji?!.

    Kama wanafikiri kuna bepari asiyemnyonya mtumishi wake warudi wafundishwe kidogo mfumo wa kibepari. Kina Joti wanaweza kucomedisha wanavyoweza, ukweli, ni Mengi ndiye aliyewaweka mjini na hakuna haja ya kukaa wanasumbuana na mtu kwani kwa sasa wana maisha yao yanayoendelea (tena vizuri!!!!)...
  8. G

    Utavumiliaje penzi hili?

    Lizzy, umeandika vema sana, kwenye hilo la usafi siongezi kitu, nitasisitiza tu, kuhusu jamaa kunyonywa, y yeye! alishajaribu kuonja chumvi ya utamu! Huko anakodhani kuna amani ya ngono, si salama, arudi ndani na aact u mume na amwambie mwenzie yu mke
  9. G

    Mchumba anatakiwa

    Yeye ana umri gani, hii inaweza kumfanya mwenye hiyo miaka uliyotaja akaamua vema, nway, naiman atafanikiwa
  10. G

    kalapina, nabii koko

    Hili sio nabii koko tu, ni zaidi ya kijana asiyejitambua
  11. G

    Jussa Ismail na Doyo Hassan Doyo LIVE On Star TV

    tatizo unalala sana, au uko fungate
  12. G

    Administrator/PA Wanted

    Pamoja mkuu, asante sana na Heri ya mwaka Mpya
  13. G

    Ishi uwezavyo si utakavyo

    Mimi ni mkunga mwanaume, ila kwa sasa nafanya kazi ya udalali wa viwanja, bahati nzuri GF wangu alishazunguka sana na kaamua kutulia kwangu, hawezi kubabaishwa na kijumba chako. Mwenyewe nillmpata baada ya kuwa ameachika kwa bwana mwenye ghorofa so nini kijumba
  14. G

    Ishi uwezavyo si utakavyo

    ............... hakuna mbaya utakuwa unaniomba lifti kwenda kazini au kumsindikiza mkweo stand ubungo!
  15. G

    Ishi uwezavyo si utakavyo

    Kila mmoja ana utashi wake, anza kujenga nyumba nitakuwa nakupeleka site na gari langu japo bado nimepanga
  16. G

    Haka Kabinti jamani doh!

    Sipingi mazoea, lakini kama unachosema (kuhusu umri), ni makosa mtu mzima kuwa na mazoea ya kimashaka na kibinti, T japo mwanao huwezi lala nae kitanda kimoja
  17. G

    Hivi tunajua maana ya kusalimiana au tunafanya mazoea?

    Ndo maana huwa tunaishia kusema 'mhola' na gawiza kisha kila mmoja anaendelea na mambo yake
  18. G

    Polisi wa kike za kizanzibari

    Nadhani kazidisha kale ka asha baraka, joto linamuumiza
  19. G

    Kijana apiga mbizi kutekeleza agizo la Magufuli!

    Mwambie aweke picha hapa, mbona aliyemuua jeiwi tumemuona iweje huyu bingwa wa kuogelea! Kwa sisi watu wa huku ferry (mtaa wa nkwanza ukishavuka kuja mjimwema), kumuona mtu anavuka bahari kwa kuogelea sio ishu, watu wanakukwapua na anakimbilia baharini kujichanganya na watu wa soko la samaki
  20. G

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Hivi akili yako huwa inafikiria zaidi ya kula ubwabwa na nguruwe!!!!
Back
Top Bottom