Search results

  1. mwanamwana

    Wanawake wanaofanya kazi kwenye migahawa midogo midogo mazingira yao ya kazi siyo rafiki

    Aina ya wanaume wanaokula kwenye mighahawa midogomidogo wengi ni wa kipato cha chini kama boda, fundi gereji, vibarua wa ujenzi nk, huwa na vitabia fulani vya ajabu ajabu sana. Ukianzisha nao mazoea ya kijinga hawawezi kukuheshimu kabisa.
  2. mwanamwana

    DOKEZO Pangani: Taka hatarishi za hospitali zinaokotwa ufukweni, Serikali ichunguze wanaofanya michezo hii

    Hii ni hatari sana, kuna mwongozo wa kuteketeza taka za hospitali.
  3. mwanamwana

    Ni kitu gani kilikuwa kinafanyika shuleni uliona cha kawaida, lakini umekuja kugundua ilikuwa unyanyasaji na udhalilishaji?

    Kuna jamaa alimchungulia demu wa shule akaja nisimulia, alikula mbata moja akazimia.
  4. mwanamwana

    Ni kitu gani kilikuwa kinafanyika shuleni uliona cha kawaida, lakini umekuja kugundua ilikuwa unyanyasaji na udhalilishaji?

    Kutenga wanafunzi kutokana na ufaulu wao, lengo lilikuwa zuri sana lakini wengi waliachwa na makovu kutokana na kutaniwa na kuchekwa.
  5. mwanamwana

    Shirika la reli lasema ruksa mwananchi kuwa na treni binafsi. Kazi kwako Gwajima, tuletee treni yako

    Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga...
  6. mwanamwana

    Kasi ya ongezeko la wajane yashtua, Kagera yaongoza

    Huo utafiti wa kiwaki tu, ilikuwa lazima aitaje Kagera ili ahusishe na UKIMWI.
  7. mwanamwana

    Mapenzi yanauma; Kijana Mzimbabwe ajirekodi mbashara Facebook akiwa anajitoa uhai kwa kunywa sumu kisa kusalitiwa

    Kijana huyo Mzimbabwe, Kelvin Mhofu Ngoshi mkazi wa Afrika Kusini, akiwa Facebook alionesha mbashara akimwa sumu kwa sababu inayodaiwa ni mpenzi wake kumsaliti. Katika video, hakusema neno, lichukua video hiyo akinywa Coca-Cola, lakini baadaye iligundulika kuwa kinywaji kilikuwa kimechanganywa...
  8. mwanamwana

    DOKEZO Kampuni ya M-gas Cooking Limited imetutelekeza wafanyakazi kwa miezi miwili bila kutulipa mshahara na kuanzisha kampuni mpya

    Tafuteni Mwanasheria awasaidie kupata haki zenu, vinginevyo mtaambulia patupu.
  9. mwanamwana

    Maafisa Serikali wa juu huenda wakazuia kutumia TikTok kwenye vifaa vya Serikali

    Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali. Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Profesa Kithure Kindiki amesema suala hilo bado linajadiliwa kikamilifu katika Baraza la Usalama...
  10. mwanamwana

    Polisi Jamii Malima aliyetajwa na JamiiForums kuwa anatumia madaraka vibaya, asimamishwa kazi

    Kazi nzuri JF, tuendelee kuwaripoti hawa Polisi jamii/Migambo maana huwa wanajiona miungu watu kwenye biashara ndogo ndogo za watu.
  11. mwanamwana

    Hospitali za Serikali zimekuwa zikitumia vijana waliomaliza intern (post intern attachment) huku wakiwalipa hela kidogo sana

    Wapewe stahiki zao kwa mujibu wa sheria, hospitali ziache janja janja na kuumiza vijana.
  12. mwanamwana

    Waziri Silaa awajibu wanaosema anaingilia mahakama kutatua migogoro ya ardhi

    Baada ya Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kuonesha mwanga katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, kuna waliodai kuwa anafanya kazi ambayo ingefanywa na mahakama yenye jukumu la kutafsiri sheria hivyo anachofanya ni sawa na kazi bure. Hivyo kumtaka kuanzia mahakamani katika...
  13. mwanamwana

    SI KWELI Barack Obama Mwaka 2022 alimuidhinisha William Ruto kuwa Mgombea Urais Kenya

    Kuna picha nimeona Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama akizindua uidhinishaji wake wa mwisho wa mgombea urais 2022 nchini Kenya ambapo alionesha wazi kumuunga mkono Naibu Rais Ndugu William Ruto. Barack Obama ana vinasaba vya Ujaluo, sijui ilikuwa vipi akashindwa kumuunga mkono Mjaluo...
  14. mwanamwana

    Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Hii ni hatari sasa, sijui watamwambia nini mzazi aliyefiwa mtoto.
  15. mwanamwana

    KERO Elimu Bure ni nini? Je, ni sawa wazazi kuendelea kuchangishwa pesa za chakula, mpishi, usafi na mitihani ya kujipima?

    Wazazi tuwapende watoto wetu, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wakiwa shule wanapata chakula. Serikali haiwezi kufanya kila kitu.
  16. mwanamwana

    SI KWELI Ukikutana na Simba, ukimtazama machoni huona aibu na kuondoka

    Nani asiyemjua mbabe Simba mfalme wa nyika? Yaani ukutane naye paaah! Utamzame machoni aone aibu na kuondoka? Bado siamini hili jambo naona hawa vijana wa ovyo wanataka kuniingiza chaka siku nikikutana naye mbashara nisichukue njia nyingine za kujiokoa eti nimtizame. Hivi kweli Simba huyu kweli...
  17. mwanamwana

    Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili. Tukio hilo limetokea majira ya saa...
  18. mwanamwana

    Mtu akitikiswa (chekechwa) kwa muda mrefu hupelekea viungo kutengana na kufariki dunia

    Leo wakati nimepanda bajaj ya kushea, deree katika moja na mbili akasimulia kuwa mtaani kwao alikamatwa mwizi, kwa kuwa wamekuwa wakisumbuliwa sana bila mamlaka ya usalama wa raia na mali zao kuwajibika ipasavyo, walichukua hatua hatu ya kumpa adhabu mbadala. Adhabu yenyewe ni kwamba anabebwa...
  19. mwanamwana

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Mali saaafi kabisa
Back
Top Bottom